Skill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" upande unaotaka kwenda kumtoka mpinzani.
Nashukuru mkuu ....nitazijaribu hizi maana nacheza mpira basic mnoSkill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" unayotaka kwenda kumtoka mpinzani.
Skill ingine effective ni "fake shot" hii inavunja command ya match up ya mpinzani inamfanya mpinzani asiziwie pass au shut8. Ku perform fake shot unabofya shoot kisha kwa haraka unapangusa "joystick" kwenye direction unayotaka kumfinyia mpinzani.
Skill ingine "pass and move" nadhani wengi wanaijua hii.
Haswa double touch muhimu mno ukii masterNashukuru mkuu ....nitazijaribu hizi maana nacheza mpira basic mno
Basi tumpe Kandambili1 acheze nae ๐Roho mbaya tuu hadi kwa wagen
Acha niendelee kujifua ili battle yetu irudi ๐Nishamwwmbia ninavyocheza nae ni tofauti sana na wengine ๐๐asinione me pro
Huyo pro mkuu..... anafanya vitu vingi kwa usahihi uwanjaniUmemuomba Selikavu? Bila shaka ulikuwa unamtania ๐๐๐
Hunikamati tenaAcha niendelee kujifua ili battle yetu irudi ๐
Aseee๐๐๐we tupande siku moja nikuwekee mpira kaziHuyo pro mkuu..... anafanya vitu vingi kwa usahihi uwanjani
Sawa ๐Huyo pro mkuu..... anafanya vitu vingi kwa usahihi uwanjani
Masikini akipata... ๐Hunikamati tena
Ukiwa fresh leo niambie mkuu.Aseee๐๐๐we tupande siku moja nikuwekee mpira kazi
Which formation is this? ๐๐๐Hizi sifa sasa wakuu
View attachment 3460604
Joystick ni ipi mkuu?Skill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" upande unaotaka kwenda kumtoka mpinzani.
Skill ingine effective ni "fake shot" hii inavunja command ya match up ya mpinzani inamfanya mpinzani asiziwie pass au shut8. Ku perform fake shot unabofya shoot kisha kwa haraka unapangusa "joystick" kwenye direction unayotaka kumfinyia mpinzani.
Skill ingine "pass and move" nadhani wengi wanaijua hii.
Ni ile directional button ya upande wa kushoto inayomsogeza mchezajiJoystick ni ipi mkuu?
Jobless wana mambo ya ajbu kichiziWhich formation is this? ๐๐๐
Sawa ngoja nijaribu vipigo vitaniua.Ni ile directional button ya upande wa kushoto inayomsogeza mchezaji