Aseee๐๐Yale majina mawili tofauti, nina mpango wa kubadilisha kuweka Dracarys, mambo ya Daenerys ๐๐๐
Mkuu bado nasafari ndefu sana hahah ni vile strategies zipo kibaoNi kukomaa tuu hakuna namna
Welcome to the class of elites sasa wewe ni Pro max master Kandambili Michezo mingi
Foka mkuu foka mno๐๐๐haiwezekan upate badge kabla ya Doue๐คฃ๐คฃ๐คฃNgoja nitumie tena ๐คฃ๐คฃ๐คฃ lazima wote waone nimefika
Hii inakuwa console mkuu sio
Shemeji anachezaje DLS wachezaji wanatembea kama wanaumwa nyonga ๐๐๐Amna coca lake DLS huyo๐
lazma kukaza sana....sema ukifika 1700 unapata mzuka wa kumalizia hapo palipobakiCongratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade ๐๐
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld ๐๐
Ndo nataka nikuludishe,๐คฃ๐คฃSina mzuka napo huko au umesahau zile enzi zetu za kupeana moto ๐
Kikubwa Radha๐๐Shemeji anachezaje DLS wachezaji wanatembea kama wanaumwa nyonga ๐๐๐
Amini mkuu hapo unapad pembeni, screen screen za simu zitadumu kwa muda mrefu ๐๐๐Mwakani mambo yakijipa nahamia hukuView attachment 3458459
Fam ukimpa train ya CF amini nakwambia uhakika wa ushindi ni 99.9% kila mechi, niamini mimi ๐๐๐
Sasa si ulimpata Baresi je mimi wa spine 86 alafu hola๐๐Nimespin zote jana hola.
Ushakuwa pro mzee๐Mkuu bado nasafari ndefu sana hahah ni vile strategies zipo kibao
๐คฃ๐คฃ leo usiku tawa onyesha iyo badge 1 hours lina nitosha kabisaCongratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade ๐๐
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld ๐๐
๐คฃ๐คฃ Pro wakati nikicheza game 4 tu narudi dvn 3 tena ๐คฃ๐คฃ๐คฃUshakuwa pro mzee๐
Ila tuache unafki hata ingekuwa mimi ndo Snow nisingemuacha shangazi mzuri vile halafu amenitaka mwenyewe ๐๐๐Aseee๐๐
Unawaza GOT tuu kama mzee wa From Winterfell to Kings landing
Fanya hivyo Doue sio wa kuishia Division 2 kama Drogba๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ leo usiku tawa onyesha iyo badge 1 hours lina nitosha kabisa
Unahisi sinatamani kucheza dvn ila we unaelewa simu ilivyokipengele halafu kule ili kutoboa inabidi ukaze mnoo maana siyo poa ๐Ndo nataka nikuludishe,๐คฃ๐คฃ
Me mwenyewe nipo division 2 Point 1500 huko๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Pro wakati nikicheza game 4 tu narudi dvn 3 tena ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bora Akina Snow....Ila tuache unafki hata ingekuwa mimi ndo Snow nisingemuacha shangazi mzuri vile halafu amenitaka mwenyewe ๐๐๐