Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
Defense mechanism ๐๐น๐นsha kwambia hawezi kuku okoa ,me niliku namtaka rate ya kikosi ipande tu ila angekaa benchi๐ฅถ๐ฅถ๐ฅถ๐ฅถ
Fam ukimpa train ya CF amini nakwambia uhakika wa ushindi ni 99.9% kila mechi, niamini mimi ๐๐๐๐คฃ๐คฃkwa sababu Razorblade ana mdomo sana
Anaiuza vipi wakati ma tamu wake anataka account? Ampatie shemeji account hiyo ๐Kasema anaiuza Myunani ๐
Hongera mkuu.Wakuu wote humu ndani...Asanteni sana nimefika dvn 1
Kazi nzuri ๐Kila nikikarbia dvn 1 walikuwa wananipa watu wenye 3170 kupanda juu hadi 3223 huko ... Leo nimekaza nimefika kwa tabu sana.
Ile ya kwanza ni mtu utakayecheza nae unachukua treasure link yake ila baada ya hapo kuendelea match ikiisha unachagua kuacquire au unaachana nayoHivi ni unachagua au wanakuletea wenywe kutokana na mtu unaecheza nae au mm ndo sielewi
Mtu afike bei me naiacha๐๐Kasema anaiuza Myunani ๐
Kupanga ni kuchagua๐๐ wewe umeweka maherufi makubwa katikati kama kindergarten ๐คฃ๐คฃ๐คฃSema username umeanza kwa herufi ndogo kama mtoto wa primary ๐๐๐
U will never know mybe utapata mmojaMkuu nimepata nyingi sana hizo halafu zinarudi kwao tu si bora coins nauhakika wa kuzitumia nikapata card.
Congratulations brotherWakuu wote humu ndani...Asanteni sana nimefika dvn 1
Ni kukomaa tuu hakuna namnaKila nikikarbia dvn 1 walikuwa wananipa watu wenye 3170 kupanda juu hadi 3223 huko ... Leo nimekaza nimefika kwa tabu sana.
Amna coca lake DLS huyo๐Anaiuza vipi wakati ma tamu wake anataka account? Ampatie shemeji account hiyo ๐
We shangalia kuingia division oneHongera mkuu.
Ukiwa una attach file instert full mkuu.
Yale majina mawili tofauti, nina mpango wa kubadilisha kuweka Dracarys, mambo ya Daenerys ๐๐๐Kupanga ni kuchagua๐๐ wewe umeweka maherufi makubwa katikati kama kindergarten ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nimespin zote jana hola.U will never know mybe utapata mmoja
Hii inakuwa console mkuu sioMwakani mambo yakijipa nahamia hukuView attachment 3458459
Sina mzuka napo huko au umesahau zile enzi zetu za kupeana moto ๐Congratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade ๐๐
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld ๐๐