Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Mkuu kitu ambacho sijali sana kwa sasa ni kufugwa sababu najua nataka kucheza mpira wa aina gani, japo kufungwa inakera ๐Kitu nimejifunza kwa mkuu Razorblade nafikiri kitu ambacho n muhimu zaidi ni kuujua mfumo wako, kikosi na namna ya kuexecute vitu hivi vitatu kupata ushindi...
Kuna pattern za long pasi, one two, crossing, ball carrying unazirudia hsdi unakuwa vizuri matokeo yatakuja tu...
Hapo anamwambia Mr Devil โNguvu Mojaโ ๐๐๐View attachment 3457144
Tufanye top-up, ongezea alfu 3 nikupe unyama huu ๐
Kuna siku nilikuwa kwenye harakati zangu nikamkuta jamaa mmoja ni mtu mzima na kitambi chake kageuza simu anakiwasha ๐๐๐Hahah humu ndo utajua Watanzania wanajua kucheza
Sema Hawa wazee wa zamani walikuwa na sura za kazi haswa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3457144
Tufanye top-up, ongezea alfu 3 nikupe unyama huu ๐
Mkuu mbona nililegeza game ya pili Ile ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hahaha sema haijalishi umeshinda au kufungwa nafikiriMkuu kitu ambacho sijali sana kwa sasa ni kufugwa sababu najua nataka kucheza mpira wa aina gani, japo kufungwa inakera ๐
Ila wewe jana nilitaka nikutoe room, mie nilikutumia invite ili tupeane win kwaajili ya kuchukua rewards na kubadilishana treasure ajabu iliyoje naona unanikanda tu ๐๐๐
Kulikuwa na mission za win pamoja na kupata goli zile ndo nilikuwa nataka kuclear maana kwenye event PvP kwangu ilikuwa inasumbua ๐Mkuu mbona nililegeza game ya pili Ile ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hahaha sema haijalishi umeshinda au kufungwa nafikiri
Omeona Defensive awareness/engagement yake lakini?๐น๐นwe cheka tu tuki kutana hawezi kuku okoa na kipondo
๐น Angekua destroyer sawa ila Buld up ni mchumba tuOmeona Defensive awareness/engagement yake lakini?
Umeona tackling yake lakini?
Huyo ni vunja vunja, najua unaumia kwa kumkosa ๐๐๐
Maneno ya mkosaji ๐๐๐๐น Angekua destroyer sawa ila Buld up ni mchumba tu
๐ ๐ ๐ uje tu test kaka kirafiki tu sio kivitaManeno ya mkosaji ๐๐๐
Eti na mimi leo nawacheka ambao wanaspin na kupata hewa, watu wanalalamika spin 79+ anaambulia upepo tu ๐๐๐
๐นme sha zingua tayari uko,nime jaza coins na trophy za kiboya aseee, sema Babu torres anq toshaYeyote nikampe treasure View attachment 3457863
Nitazihitaji hizi mkuu.Yeyote nikampe treasure View attachment 3457863
Siyo leo ๐๐ ๐ ๐ uje tu test kaka kirafiki tu sio kivita
Huna namna ๐๐๐sema Babu torres anq tosha
Kukupoza machungu ๐View attachment 3457945nimespin nimekosea wakaona wanipe huyu kwenye penalt.
Account ipo mama wewe tuu kudownload game nikuwekee๐Nipe kwani hiyo acc bas, ๐๐๐๐