We umesema mtandao mbovu na Razorblade bado yuko training ndio maana sijataka kuwa onea ๐คฃ๐คฃMr Devil heshima yako kaka me sipo kwenye list kaka nimesurrender mapema๐
Unajua
Doue for Ballon D or ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Ligi bila smart assist inakuja, hatakama sijui kukaba siyo kufungwa goli 5+ tena mipira inapita tu kama ndege za kivita ๐๐๐๐นwe upo training tulia
Ni vizuri vile hakuna ligi naendelea kutrain kwa utulivu, usijeshangaa ligi ijayo nikaweka back 5 halafu DMF nikamshusha mpaka kwenye D ๐We umesema mtandao mbovu na Razorblade bado yuko training ndio maana sijataka kuwa onea ๐คฃ๐คฃ
Kuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600๐คฃ๐คฃ๐คฃWe umesema mtandao mbovu na Razorblade bado yuko training ndio maana sijataka kuwa onea ๐คฃ๐คฃ
Kuna mimi toka 1900 saivi nipo 1700 ๐ dah hili game linakera sana ukiwa unafungwa ๐๐Kuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ngoja natafuta siku nikamie tena mpka nilud
Kuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ngoja natafuta siku nikamie tena mpka nilud
Kazeni vidole acheni kulialia ๐๐๐Kuna mimi toka 1900 saivi nipo 1700 ๐ dah hili game linakera sana ukiwa unafungwa ๐๐
Owaaa mbona umeshuka hivyo๐๐๐๐Kuna mimi toka 1900 saivi nipo 1700 ๐ dah hili game linakera sana ukiwa unafungwa ๐๐
Unamtaka Kwio๐๐Kazeni vidole acheni kulialia ๐๐๐
Huko siendi ng'o, Isco mwenyewe hana maajabu ๐๐๐
Kwanza Isco mwenyewe ninae ๐Unamtaka Kwio๐๐
Kumbe nikajua umesahau๐คฃ๐คฃ๐คฃKwanza Isco mwenyewe ninae ๐
Siwezi sahau takataka ile ๐๐๐Kumbe nikajua umesahau๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mchezaji mkali kabisa sema card ya Isco wa madrid itakuwa ya moto sana๐Siwezi sahau takataka ile ๐๐๐
Card yoyote ya live booster kwangu ni takataka ๐Mchezaji mkali kabisa sema card ya Isco wa madrid itakuwa ya moto sana๐
Wewe unamchukuliaje Pedrinho๐๐Card yoyote ya live booster kwangu ni takataka ๐
Kama ni wa live booster ni takataka tu ๐Wewe unamchukuliaje Pedrinho๐๐
Huyo bila hata booster ni wa moto๐๐Kama ni wa live booster ni takataka tu ๐
๐ ๐ kuna wadau walianza kuku zoea hadi wakawa wana tamani wakutane na weweNi vizuri vile hakuna ligi naendelea kutrain kwa utulivu, usijeshangaa ligi ijayo nikaweka back 5 halafu DMF nikamshusha mpaka kwenye D ๐
Ulifanya makosa mkuu pale ukifika huko pumzika tu jana nimefika hadi 1797 ila sahizi nipo 1700 sijui narudijw noob mimi natesekaKuna siku niliingia na vibe la Division mzee nimekula vipigo tigo inalag tuu nikashuka zangu toka 1800 mpk 1600๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ngoja natafuta siku nikamie tena mpka nilud
Pedri mtu.Huyo bila hata booster ni wa moto๐๐
Kibonde ๐๐ ๐ kuna wadau walianza kuku zoea hadi wakawa wana tamani wakutane na wewe