Konami ukishawapa hela basi epic wa bure sahau๐๐Kuna watu wanatumia coin mia alafu kuna mimi na Razorblade account zetu wameziroga๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hahahahaha huu mtegoNi kwenye harakati za kujipima๐๐๐msije mkajaa upepo kuwa mnamkaba Ronaldo ๐๐๐๐wakati Owen haamjamuweza bado๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Eniwei ni Jokes tuu nothing Serious mkuu
Cc Warld
Hata me naona hili swala๐๐๐Konami ukishawapa hela basi epic wa bure sahau๐๐
Tukate rufaa, huu ni unyanyasaji ๐๐๐Kuna watu wanatumia coin mia alafu kuna mimi na Razorblade account zetu wameziroga๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kuna akina Lamine humu wanakusubiri ๐Baada ya kuanza kucheza kwenye Infinix smart 6 japo wachezaji wapo kama katuni๐lakini matokeo at least napataView attachment 3448185
Kazi njema mkuu, tupo pamoja ๐Hii simu nilikua nayo kitambo leo nikasema ngoja nijaribu ku download efootball kumbe linakubali
Umemchukua tayari๐Kuna akina Lamine humu wanakusubiri ๐
Konami ukishawapa hela basi epic wa bure sahau๐๐
Nakataa kabisa, mbona mimi sijawapa na sipati hao wa bure ๐๐๐Hata me naona hili swala๐๐๐
Hapana namaanisha wale waliokuwa wanakufunga halafu wanaleta kamdomo ๐Umemchukua tayari๐
Hamna walistahili ushindi ๐Hapana namaanisha wale waliokuwa wanakufunga halafu wanaleta kamdomo ๐
Sawa, wape tena ushindu kupitia infinix smar 6 ๐Hamna walistahili ushindi ๐
Dah wakinipiga tena mkono itabidi nitulie tu๐Sawa, wape tena ushindu kupitia infinix smar 6 ๐
Tutaenda kwa fujo kwenye account za eFootball mitandao yote na kuandika comment โSmart assist ifutweโ ๐Dah wakinipiga tena mkono itabidi nitulie tu๐
We chokoza watu mtu afungwe tena week๐๐๐Hapana namaanisha wale waliokuwa wanakufunga halafu wanaleta kamdomo ๐
Nitaongoza maandamano๐๐Tutaenda kwa fujo kwenye account za eFootball mitandao yote na kuandika comment โSmart assist ifutweโ ๐
Nenda kaspin kuna mwamba kampata costacurta kwa coin 900 alizotunza.Nakataa kabisa, mbona mimi sijawapa na sipati hao wa bure ๐๐๐
Kapata simu nyingine mkuu ๐We chokoza watu mtu afungwe tena week๐๐๐
Sithubutu.Nenda kaspin kuna mwamba kampata costacurta kwa coin 900 alizotunza.
Tutafute kauli mbiu kabisa ๐Nitaongoza maandamano๐๐