Kumbe una Isco tayali๐คฃ๐คฃ๐คฃ division usicheze sasaWalau safari hii wamenipa mchezaji niliemtaka.
View attachment 3261843
Mnafahamu italian Prince nyinyi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAje mmoja wa mfano
Amuone the italian prince francesco TOTI 105๐
Upofriendly jamani๐ฅฑ
atanaivo mwanzo nilitesa kidogo mpaka Razorblade alikuwa hataki mazoea kabisa kuhusu kucheza ๐Ulikuja na mbwembwe๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Daah! ๐๐คKumbe una Isco tayali๐คฃ๐คฃ๐คฃ division usicheze sasa
Kwa hili boli la sasahivi akipata injury haponi ๐๐๐Mnafahamu italian Prince nyinyi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sema analindwa mno hachezi hovyo hovyo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sasa kwa ulivyokuwa unaanza hiyo ilikuwa chaguo zuri maana wengi tulioanza game tulikuwa tunapanga ili streghth ikue ๐๐๐We jamaa livivu sana seriously ukawa unanishauri nitumie Auto pick๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mourinho alikuwa na OW na LBC nikahamia kwa Alonso mwenye QC na PSSN, game limetutoa mbali aisee ๐๐๐Iv ww kichwa uliacha kabisa LBC ukanunua Xabi Alonso๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Aisee ๐๐๐Kwa mnaojiulizaga Pamela Mamtu imetoka wapi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mie nimetoa go ahead akihitaji points zake hakuna tatizo, ikiwa atakubali tucheze kiporo ili abebe point zake kwa kishindo hakuna neno pia ๐Wakuu hatutokuwa na fixtures leo mmalizie viporo Mill broh vs Corrie de killer
Na hii derby mpya chini ya kauli mbiu point za mezan hazinogi
Mr Devil na Razorblade
Kama mtakubaliana mcheze leo kama haitowezekana mtu ale point 6 zake
Nilikuwa nachungulia account napita kushoto bila kutuma invite ๐๐๐atanaivo mwanzo nilitesa kidogo mpaka Razorblade alikuwa hataki mazoea kabisa kuhusu kucheza ๐
Nilikuwa natafuta kitu.. nikaamua nifukueSasa kwa ulivyokuwa unaanza hiyo ilikuwa chaguo zuri maana wengi tulioanza game tulikuwa tunapanga ili streghth ikue ๐๐๐
Jana umelala na vitu kichwani mkuu? ๐๐๐
Na hakupata hata on target au alichezesha vipofuYapata miezi sita sasa mtu anajipanga kwa ajili ya kisasi๐๐๐
Nikimpata mmoja hapa safi kabisa ila konami walivyojau๐
Bora hata vipofu alichezesha viwete๐๐Na hakupata hata on target au alichezesha vipofu
Vitasa vya maanaNikimpata mmoja hapa safi kabisa ila konami walivyojau๐
Kama kawaida yako.Nilikuwa natafuta kitu.. nikaamua nifukue
Kikaa pale kimoja uwakika๐๐Vitasa vya maana
NEGAN siku hizi wanamshika sharubu sana sijui shida nini ๐๐๐Yapata miezi sita sasa mtu anajipanga kwa ajili ya kisasi๐๐๐