eFootball Special Thread

Point haziachwi kizembe umezingua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu mie niliingia kwenye game mapema nikawa namsubiri opponent, nimecheza events mwenyewe nilivyoona naanza kuhisi usingizi nikaweka AI control ili niendelee kusubiri invitation maana muda wote sikuwa namuona online na hapo ndo nilipopitiwa na usingizi mazima ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Pole mkuu
 
Na join vp kwa ligi
Mkuu hii ligi tulikuwekq lakin hujatokea hata game mmoja na tunaenda mtoano...

Ngojea league ijayo ratiba inatoka Jumapili..

Na kutokana na nature ya JF mara nyingi saa nne usiku ndo match zinachezwa kwa hiyo hiyo mida unakuwepo kumsubuli opponent wako


Pia tupe username yako ya Efootball
 
Kwakua leo hakuna fixture muende kuisoma Familia ya Mr Devil
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

 
Back 5 kumbe nilitumia enzi za unoob wangu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Gilberto_ Mill broh
 
Hii nilikuwa sijui nimeona kumbe kuna game unafungwa kisa wachezaji hawakuwa form

Mkuu nataka nimchukue Joshua Kimmich kama Another Dm vip anaweza akawa Anchorman au nae ni box to box Dm...??
Ila na mimi nilikuwa Noob kwel kwel ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Achana na akina Kandambili wanatuchezea michezo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hata kuangalia playstyle za wachezaji nilikuwa sijui๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Dadeki๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ