๐น๐นsafi mtu akiingia kwenye mfumo una bonda haswaa
๐น๐นamna namna๐๐Una roho mbaya sana kaka๐คฃ๐คฃ
TwenzaoNipo
๐น๐นmatch ya tusio jua kukaba Razorblade
Kesho muda wowoteSaa ngapi tutakipiga
Nalala sasa, maombi yaongezeke, defense is ๐ฎ ๐๐๐
Unauliza tena watu wapo serious mzee๐คฃ๐คฃHii ni nini ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Good game man yule beki wa kushoto hana nguvu kabisa๐Nalala sasa, maombi yaongezeke, defense is ๐ฎ ๐๐๐
Subiri matokeo yaje uone shughuli ๐๐น๐นmatch ya tusio jua kukaba Razorblade
Huruma sio malezi๐คฃ๐คฃSio kwa kipigo hiko mkuu... hongera sana sana...naona ulitaka ongeza la 5 hapo mwishoni
Hii inaitwa ukikaba unafungwa na usipokaba utafungwa tu ๐