eFootball Special Thread

Plus smart assist ilikuwa ni lazima tu Negan akae๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kinachoniua zaidi ni zile auto tackling za smart assist kupora mpira mabeki wangu.

Nadhani wewe mwenyewe umenifunga magoli mengi kwa kupokonya mpira mabeki zangu๐Ÿ˜€ unajuaga kabisa ukiona beki wangu ana mpira huwa una press unajua goli hili hapa๐Ÿ˜€
 
Admin niwekee goli langu moja linaweza nimeba huko mbele ya safari..
 
Nikiona beki wako ana mpira nashika dash& pressure kabisa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ