Na hii mara nyingi inatokea ukiwa unaongoza๐ญMi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.
Ukabaji ndo hovyo kabisa, matchup kama dash tu
Konami jauNa hii mara nyingi inatokea ukiwa unaongoza๐ญ
Dunia duara๐๐Haha akajiona mjanjaa ๐ sisi ni pipo tushakutana sasa
Ukabaji wa kishenzi mno๐๐๐Mi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.
Ukabaji ndo hovyo kabisa, matchup kama dash tu
Pole sana mkuu ๐๐Nilikuwa naongoza moja ilo goal la pili. Ndo hivyo mb 200 tigo hazifanyi kazi๐ญ
Ngoja tu nimpumzike sasa wamenifyeka points 35๐Pole sana mkuu ๐๐
Huyu isco atatutoa roho
Hahaha mkuu imekuaje game tano๐Hii imevunja rekodi sasa nipumzike tuView attachment 3442124๐
Nimesahau kulicheza๐Hahaha mkuu imekuaje game tano๐
Aah zote hizo ulimzidi Rank nini ๐๐Ngoja tu nimpumzike sasa wamenifyeka points 35๐
Tucheze na Ai kwanza wakati wenye division yao wanalud walipotoka ๐๐๐Hii imevunja rekodi sasa nipumzike tuView attachment 3442124๐
๐๐Hii update nadhan itakuwa imekuja na na QC ๐maana LBC naona imekuwa ya kawaida kabisaNimesahau kulicheza๐
Lbc udwanzi sana ngoja nipigie AI nijifunze upya game๐๐Hii update nadhan itakuwa imekuja na na QC ๐maana LBC naona imekuwa ya kawaida kabisa
Wanadai kuwa kila update inakuja na system moja ambayo inakuwa so effective nadhan kwa saiv itakuwa Qc๐๐Lbc udwanzi sana ngoja nipigie AI nijifunze upya game
Nimeona Owen wangu kawaka kwel kwel๐๐๐kila game na Ai anatoka na mpiraWahuni wame mkata kichwa bat goal, simwelewi kabisa ๐น๐น