eFootball Special Thread

NEGAN Incase hii exchange ya wachezaji ikawa kwel nitakuja sana kwako๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kante hiyo ni done deal haina mjadala...

Namtaka messi wa 105 nikupe Van Basten๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Rijkard plus Casillas ile nakupa Cannavarro ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Boss kalewa
 
Kante anakufaa ila Van basten fox in the box nimpeleke wapi๐Ÿ˜€ mchukue Drogba wa Razorblade ๐Ÿ˜€
 
Namtaka huyo messi wa 105 kwako nae hana namba๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Utaniambia card ipo unaitaka ila sio Owen ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Jitu lina uzito wa Gb 2.7 update nzima ya konami inaingia kwake nalipeleka wap๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ndiyomaana kwangu anakula Counter target, akikulalia tu yeye mbele ๐Ÿ˜‚

Hana speed ila anatoa assist balaa ๐Ÿ˜‚
 
Namtaka huyo messi wa 105 kwako nae hana namba๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Utaniambia card ipo unaitaka ila sio Owen ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Sasa mkuu nawe kwa card gani ulizonazo za kubadilishana bhana, kutupigia kelele tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ