Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Selikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball ๐just wish to be a normal person, you guy's are enjoying your time.
wish Inge kuwa hivyoSelikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball ๐
Amna kabisa๐คฃ๐คฃ๐คฃmwalim ananikwepa mapema kabisa ๐คฃ๐คฃ... Ila nadhani umeona Kuna vtiu tunacheza sawa na mwalimu selikavu
Wakati me mwalimu nipo division 3๐๐Picha linaanza kandambili yupo division 2 vs AI kwani nyie hamuogopi๐
Inaweza ikawa๐Selikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball ๐
Aya kanitukane nimeshajuchagulia tusi๐๐๐Ila wewe nakutukana hata PM huwezi nichezea mpira ule ๐๐๐
Limekufaa lile ๐๐๐Aya kanitukane nimeshajuchagulia tusi๐๐๐
Inabidi na huku tufanye reform ๐Je mpira unaocheza na smart assist ukija ukazima utacheza hivyo hivyo
Tafakari chukua hatua hautojua game
#kataaWahuni #kataaSmartAssist
Good Morning Fam
Ulizani tuna tania, sema we nae unapenda kucheza mpira mzuri upate magoal ya kuanzia buld up , wakati wahuni wana sakama goal kwa njia yoyote ile ๐น๐น๐นKitu ambacho nimethibitisha kandambili sio mgeni kwenye hili game๐
๐น๐น๐นRazorblade sina hicho kifua likija swala lako utanisemehe tuu๐๐
Sema unapiga pass siku hizi kaka๐๐๐asee kwel sex football
Vip unamzingumziaje Halaand
View attachment 3437982
๐น shivo anajua kukera
Hatuzimi smart assist ๐๐Je mpira unaocheza na smart assist ukija ukazima utacheza hivyo hivyo
Tafakari chukua hatua hautojua game
#kataaWahuni #kataaSmartAssist
Good Morning Fam
Taarifa ya update ya 2026 hakuna smart assist ๐Hatuzimi smart assist ๐๐
Comred kalala ๐๐
Vayolensi ๐Ulizani tuna tania, sema we nae unapenda kucheza mpira mzuri upate magoal ya kuanzia buld up , wakati wahuni wana sakama goal kwa njia yoyote ile ๐น๐น๐น
Unacheka hizo kuna nane๐๐๐น๐น๐น
Acha tuu๐๐๐น shivo anajua kukera
๐๐ Tutaendelea kupambana ila siku wakija kutoa usilalamike๐๐๐Hatuzimi smart assist ๐๐