Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Najua anayo mwambie ayalete, simu ilibaki 1% wakati tunacheza mechi ya mwisho na wewe ๐๐๐Matokeo bila picha ni Uzushi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mwambie alete mkuu ๐Leta picha za matokeo kwanzq๐๐๐
mwalim ananikwepa mapema kabisa ๐คฃ๐คฃ... Ila nadhani umeona Kuna vtiu tunacheza sawa na mwalimu selikavuMwalimu unamkataa mwanafunzi wako uliyemfundisha mwenyewe ๐
Kampiga Razorblade nane Fanya mchezo hapa itakiwa zamu yangu keshoMwalimu unamkataa mwanafunzi wako uliyemfundisha mwenyewe ๐
Mkuu acha tu ๐๐๐Hiloooo umepigwa 8 ๐๐๐๐๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mkuu ile friendly wala sikuchukulia serious sana.. sikupiga picha hahaha na sikutala yafike huku..umeleta wewe matokeoNajua anayo mwambie ayalete, simu ilibaki 1% wakati tunacheza mechi ya mwisho na wewe ๐๐๐
Utakuwa umetishaMie ninayo tu hii mpaka ikae, ila ligi ya kuanzia kesho naweza weka haram football+smart assist ili tuende sawa ๐
Watu kumbe mmekula vipigo kutoka kwa kandambili mnaugulia kimya kimya๐Huyo Kandambili mechi ya kwanza kanipiga 1-8 na smart assist zake, mechi ya pili katangulia goli 2 ikabidi na mimi niwashe tukaenda draw.
Namsubiri aje hapa kusema hatumii smart assist.
Game unajua na huenda hujaanza cheza hivi karibuni ila kuhusu kuwa pro nimeanza kukataa ๐๐๐ni heri useme wewe mkuu....wananipa cheo ambacho siwezi kufika
Ila wewe nakutukana hata PM huwezi nichezea mpira ule ๐๐๐Utakuwa umetisha
Ani vile nabahatisha mkuu... ila bado sana hapa na vya kujifunza vipo vingiWatu kumbe mmekula vipigo kutoka kwa kandambili mnaugulia kimya kimya๐
hahaha nimeanza majuzi tu....sema naokota okota ujuzi mnavyocheza nyie mkuu naibaGame unajua na huenda hujaanza cheza hivi karibuni ila kuhusu kuwa pro nimeanza kukataa ๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Baada ya kuhangaika sana mkuu ndo nikaishia apo .Sina maajabuPicha linaanza kandambili yupo division 2 vs AI kwani nyie hamuogopi๐
Resemblance ipo ila wewe upo clinical zaidimwalim ananikwepa mapema kabisa ๐คฃ๐คฃ... Ila nadhani umeona Kuna vtiu tunacheza sawa na mwalimu selikavu
Hukua serious na ukapiga mtu 8๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mkuu ile friendly wala sikuchukulia serious sana.. sikupiga picha hahaha na sikutala yafike huku..umeleta wewe matokeo
Kwa mfumo naotumia pamoja na playstyle inabidi nitumie DMF kuanzisha mashambulizi ndiyomaana najaribu kupiga pasi nyuma ili kufungua nafasi kwa DMF.hahaha nimeanza majuzi tu....sema naokota okota ujuzi mnavyocheza nyie mkuu naiba
Ni kanuni yetu kuleta matokeo hata ufungwe 10 ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mkuu ile friendly wala sikuchukulia serious sana.. sikupiga picha hahaha na sikutala yafike huku..umeleta wewe matokeo
Nauguliaje kimya kimya na nimesema mkuu ๐๐๐Watu kumbe mmekula vipigo kutoka kwa kandambili mnaugulia kimya kimya๐