Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Wewe nae ntakupa tusi, hizo ndege kakufundisha nani ๐๐๐Razorblade sina hicho kifua likija swala lako utanisemehe tuu๐๐
Sema unapiga pass siku hizi kaka๐๐๐asee kwel sex football
Vip unamzingumziaje Halaand
View attachment 3437982
Smart assist inakera sana basi tuuUsiseme upepo sema pepo baya ๐
Ila kuna watu wanatumia smart assist vibaya bora waiondoe tu ๐
Division mzee mpira kazi kazi tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃWewe nae ntakupa tusi, hizo ndege kakufundisha nani ๐๐๐
Hahahaha mkuu matokeo usiyalete hapa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa ๐๐๐
Chukuaen madini hayo kutoka kwa Shivooo master Kandambili1Hahahaha mkuu matokeo usiyalete hapa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Game ya pili umecheza vizuri sana na inapaswa kucheza hivyo mkuu ...pia punguza dribble na pass eneo la defence ...pasi zipigie sana phase ya pili pale kwa midfieldasante kwa game nzuri bro
Hahahaha hii account itaendelea mkuu....Sina nyingine.Endelea kaka ukichoka utakuja na main account yako ๐คฃ๐คฃ
Huyo Kandambili mechi ya kwanza kanipiga 1-8 na smart assist zake, mechi ya pili katangulia goli 2 ikabidi na mimi niwashe tukaenda draw.Smart assist inakera sana basi tuu
Ndiyomaana dvn siku hizi nafungwa sana, pira la ajabu+smart assist ๐Division mzee mpira kazi kazi tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nane kaka hii ya juzi ama๐๐๐ Kandambili1 ni pro mzee๐คฃ๐คฃ๐Huyo Kandambili mechi ya kwanza kanipiga 1-8 na smart assist zake, mechi ya pili katangulia goli 2 ikabidi na mimi niwashe tukaenda draw.
Namsubiri aje hapa kusema hatumii smart assist.
Wewe hamna kitu bhana, hizo pasi huko nyuma napiga kwa makusudi fulani.Hahahaha mkuu matokeo usiyalete hapa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Game ya pili umecheza vizuri sana na inapaswa kucheza hivyo mkuu ...pia punguza dribble na pass eneo la defence ...pasi zipigie sana phase ya pili pale kwa midfield...asante kwa game nzuri bro
Cheza mpira matokeo huko๐๐๐ ila komaa na passing game yako mkuu utafika mbali imeanza kukulipa mdg mdg unakujaNdiyomaana dvn siku hizi nafungwa sana, pira la ajabu+smart assist ๐
Matokeo bila picha ni Uzushi ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuyo Kandambili mechi ya kwanza kanipiga 1-8 na smart assist zake, mechi ya pili katangulia goli 2 ikabidi na mimi niwashe tukaenda draw.
Namsubiri aje hapa kusema hatumii smart assist.
Kabla sijaingia na wewe room nilikuwa nae yeye, hakuna pro hapo nimeanza kukataa ๐๐๐Nane kaka hii ya juzi ama๐๐๐ Kandambili1 ni pro mzee๐คฃ๐คฃ๐
Leta picha za matokeo kwanzq๐๐๐Kabla sijaingia na wewe room nilikuwa nae yeye, hakuna pro hapo nimeanza kukataa ๐๐๐
mkuu ๐คฃ๐คฃHuyo Kandambili mechi ya kwanza kanipiga 1-8 na smart assist zake, mechi ya pili katangulia goli 2 ikabidi na mimi niwashe tukaenda draw.
Namsubiri aje hapa kusema hatumii smart assist.
Hiloooo umepigwa 8 ๐๐๐๐๐๐๐๐Huyo Kandambili mechi ya kwanza kanipiga 1-8 na smart assist zake, mechi ya pili katangulia goli 2 ikabidi na mimi niwashe tukaenda draw.
Namsubiri aje hapa kusema hatumii smart assist.
Mwalimu unamkataa mwanafunzi wako uliyemfundisha mwenyewe ๐Endelea kaka ukichoka utakuja na main account yako ๐คฃ๐คฃ
ni heri useme wewe mkuu....wananipa cheo ambacho siwezi kufikaKabla sijaingia na wewe room nilikuwa nae yeye, hakuna pro hapo nimeanza kukataa ๐๐๐
Mie ninayo tu hii mpaka ikae, ila ligi ya kuanzia kesho naweza weka haram football+smart assist ili tuende sawa ๐Cheza mpira matokeo huko๐๐๐ ila komaa na passing game yako mkuu utafika mbali imeanza kukulipa mdg mdg unakuja
๐ nikutane na wewe tuMie ninayo tu hii mpaka ikae, ila ligi ya kuanzia kesho naweza weka haram football+smart assist ili tuende sawa ๐