eFootball Special Thread

Amna First half ulishika kiungo yangu mzee kheeh nilipotea kabisa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmpka nimelud second half ndo kdg nikatulia alafu me ndo Counter zangu hizo siku hizi ndo maana nacheza na Halaand
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น we na kandambili sio wa kuwnza na mpira ,mkianza na mpira lazima mpige goal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ