Nilitaka nikucheki saa 8 mambo yaka ingiliana mkuu, jikaze tu iyo baadae badae, kila mtu atafungwa na mimi usiwe na haraka ๐น๐น๐นMazingira mchana huu wa leo ingekuwa pow maana saa nane naanza kwenda huko
Sina haraka ya kufungwa kaka najua nitafungwa nilitaka nicheze mapema kabla ya kuja huku nilipo network ni chengaNilitaka nikucheki saa 8 mambo yaka ingiliana mkuu, jikaze tu iyo baadae badae, kila mtu atafungwa na mimi usiwe na haraka ๐น๐น๐น
Aah pow pow haina noma kaka kuna message nimekuuliza hapo juu sijui umeionaDadeq ๐ hutapita now, alafu ile juzi bundle lilikata nikamute.
Na mimi tatumia HALOTEL tuwe sawaSina haraka ya kufungwa kaka najua nitafungwa nilitaka nicheze mapema kabla ya kuja huku nilipo network ni chenga
Kdg network ikiwa nzuri nipunguze idadi ya magoli
Hatuchezi ๐๐๐๐Mfumo si ni ule ule au tulete wa makundi๐๐๐
Razorblade jina lake la Pamela Mamtu amelikimbia๐๐๐Neowarrior ndio nani?
Amekimbia room๐Razorblade jina lake la Pamela Mamtu amelikimbia๐๐๐
Siku hizi anapanda ndege mno๐๐๐Amekimbia room๐