Shukran kakaโHongera mtaalamu
Sema night ndio unyama ,angalia mazingira ili usije jitetea kama RazorbladeKama utakuwa umebanana nianze kuweka TTCL hewan mapema tucheze night kama siku zote
Mazingira mchana huu wa leo ingekuwa pow maana saa nane naanza kwenda hukoSema night ndio unyama ,angalia mazingira ili usije jitetea kama Razorblade
Acha nibaki na badge yangu hiyohiyo kwa sasa ๐๐น๐น ata me nme acha kucheza kupanda ,uwa nacheza nikiwa nataka kucheza na opponents tu
KaribuNd mm hyo hyo
Anatuzuga tu ๐Huyo ni pro in Razorblade Voice๐
Kama Tony Adams wangu ๐Konami๐คฃ๐คฃ๐คฃ imagine Destroyer anacheza CF๐๐๐
View attachment 3437350
Huyu et ndo position yake naturally ๐คฃ๐คฃ๐คฃKama Tony Adams wangu ๐
Sijawahi kuwa na bahati kwa Haaland asee, namtamani kinoma nilimchukua yule wa GP ila hana vingiHumu ndani niliwaambia nisipate card ya Halaand ambayo ni Fox in the Box๐๐
Nikaipata juzi Alhamic kwenye free spine aseee jamaa ni striker haswa
Hatari sanaKonami๐คฃ๐คฃ๐คฃ imagine Destroyer anacheza CF๐๐๐
View attachment 3437350
Nimeanza kutunza upya, sasahivi nikizitumia kwenye update mpya sitotumia tena mpaka update ya 2027 ๐View attachment 3437565View attachment 3437566View attachment 3437567
Coin 100 tu๐๐ kutunza namwachia mwanangu Razorblade na Selikavu.
Cc Mill broh
๐๐๐Ile card mzee kachome pale labda utapataSijawahi kuwa na bahati kwa Haaland asee, namtamani kinoma nilimchukua yule wa GP ila hana vingi
Kama kawaida yako umespine jumapili kanisani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3437565View attachment 3437566View attachment 3437567
Coin 100 tu๐๐ kutunza namwachia mwanangu Razorblade na Selikavu.
Cc Mill broh
Nipo hapa๐๐๐Nimeanza kutunza upya, sasahivi nikizitumia kwenye update mpya sitotumia tena mpaka update ya 2027 ๐
Hongera sanaNliwaza hivo ila nikamtamani cr7๐ nikabahatika
Aweeee wongo huo kaka๐๐Ungejua hata kanisani nimesahau nilienda lini