bora asee mambo ya kuzungusha beki zangu siyapati , uka jionee balaa la kandambili na kikosi cha 3109 ๐น๐น๐นMimi nitakipiga na kandambili๐
Hivi haujawai kucheza nae kabisa๐Nikamkabe puskas sasa๐
Nd mm hyo hyoMbona kama nakufahamu kaka ๐
Kandambili1 anacheza nyie na hiyo smart assist mzee ameimastabora asee mambo ya kuzungusha beki zangu siyapati , uka jionee balaa la kandambili na kikosi cha 3109 ๐น๐น๐น
๐น ukiweza ku block njia zake baasi ,afu puska kampa counter target๐๐๐ Kandambili1 nilivyokuwa nacheza nae easy mwanzo ila nimeshashtuka huyo nikiingia nae room kazi kazi mzee๐๐๐
Hapana mkuu sikumuwekea game zote 2....Mfumo wangu uli kataa game ya kwanza , game ya pili nili badili formation ๐ ๐ naona uli muwekea tight marking bati goal
Anacheza possession game mzee kukaba kwa LBC ni kazi kinoma hiyo Playstyle๐น ukiweza ku block njia zake baasi ,afu puska kampa counter target
Huyo ni pro in Razorblade Voice๐bora asee mambo ya kuzungusha beki zangu siyapati , uka jionee balaa la kandambili na kikosi cha 3109 ๐น๐น๐น
Me mwenyewe game zangu nilijua umemark ila nikaja kujua niliweka mtu mzito mbele๐๐๐na defence ya cryuff ni nzuriHapana mkuu sikumuwekea game zote 2....
Hiyo situmii kabisa....sema vifungo niliwakamata kiasi chake
hahahaha mkuu hamna shida....nitajianda a na hii game una moto sana naonaMimi nitakipiga na kandambili๐
๐นalikua nyuma ya beki zangu kila mdaHapana mkuu sikumuwekea game zote 2....
Hiyo situmii kabisa....sema vifungo niliwakamata kiasi chake
Kesho kwa mara ya kwanza tunakiwasha na imani itakua game nzurihahahaha mkuu hamna shida....nitajianda a na hii game una moto sana naona
Possession kwa smart assist ime nyooka sana ๐น๐ฅAnacheza possession game mzee kukaba kwa LBC ni kazi kinoma hiyo Playstyle
Hahahaha nikashtuka kaka vipi anaweka full mkoko hahah sema unanitrain sana....endeleaa kuweka kazi kazi kaka๐๐๐ Kandambili1 nilivyokuwa nacheza nae easy mwanzo ila nimeshashtuka huyo nikiingia nae room kazi kazi mzee๐๐๐
Jiandae kisaikorojia na smart assist pro maxKesho kwa mara ya kwanza tunakiwasha na imani itakua game nzuri
Owaa ni balaa hata mimi sichezi hivyo na smart assist ๐คฃ๐คฃPossession kwa smart assist ime nyooka sana ๐น๐ฅ
Amna kikosi kile kile ila nacheza mpira kazi๐คฃ๐คฃHahahaha nikashtuka kaka vipi anaweka full mkoko hahah sema unanitrain sana....endeleaa kuweka kazi kazi kaka
Naona ume toa siri za changing room, utaelewa kesho mida kama hii๐นHumu ndani niliwaambia nisipate card ya Halaand ambayo ni Fox in the Box๐๐
Nikaipata juzi Alhamic kwenye free spine aseee jamaa ni striker haswa
Hatonisumbua sana sababu anacheza possession. Nasumbuka kucheza na wewe sababu unacheza counter attackJiandae kisaikorojia na smart assist pro max