eFootball Special Thread

Hivi hivyo vindege wanafanyaje maana huko dvn kumekuwa hovyo, mtu unamfunga na bado dakika nyingi halafu anafanya utumbo unapewa loss ๐Ÿ˜ก


Huko dvn chezeni wenyewe badga ya dvn 2 inanitosha kwa sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜…Au cheza ya AI , usha wahi abandon match ya Ai ? wahuni wana bonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ