Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
๐คฃ๐คฃ๐คฃ mkuu unataka jamaa asusie kunipa mafunzo...uzuri yeye anajua hatua zangu bado๐นana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumo
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐dadekiEti anakwambia amejifunza mengi sana ๐๐๐
Mtu akiamua kukutukana hakuchagulii tusi ๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐นwe hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania๐คฃ๐คฃ๐คฃ mkuu unataka jamaa asusie kunipa mafunzo...uzuri yeye anajua hatua zangu bado
Dah! Nitaamsha waliolala kwa kicheko ๐๐๐๐น๐น Selikavu ana mwambia jamaa kila siku afanye kupiga vile vi penalty ,ukute apo pro Kandambili1 alikua anacheka sana
hahaha set up yote naibeba kwake....angalia back 4 hiyo....pia sababu najifunza forward zangu haziwezi perform kama yeye....Selikavu hachezi hivyo sasa we unachukua mbinu gani kwake? ๐๐๐
Uzalendo kwanza au siyo? ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐นwe hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania
mkuu mbona ulinifunga game 2 zote hahaha mimi ndio niombe uzalendo wako kwa Mimi noob๐คฃ๐คฃ๐นwe hufai kaka kesho tucheze ki ndugu asee sisi wote watanzania
๐น๐น๐นsio poa
๐นmambo ya kula mkono na li kikosi lote ilo sioUzalendo kwanza au siyo? ๐๐๐
๐น๐น๐คฃtusubiri keshomkuu mbona ulinifunga game 2 zote hahaha mimi ndio niombe uzalendo wako kwa Mimi noob
Sasa Selikavu ni mwalimu wa Civics na wewe mwanafunzi unasoma Physics, hakuna uhusiano kabisa ๐๐๐hahaha set up yote naibeba kwake....angalia back 4 hiyo....pia sababu najifunza forward zangu haziwezi perform kama yeye....
Batigoal alikuwa anazurula tu uwanjani ๐๐๐๐นmambo ya kula mkono na li kikosi lote ilo sio
Uzalendo muhimu mkuu....sawa๐น๐น๐คฃtusubiri kesho
nabeba vya muhimu vingine naongezea pia...hahahSasa Selikavu ni mwalimu wa Civics na wewe mwanafunzi unasoma Physics, hakuna uhusiano kabisa ๐๐๐
Mbona kama nakufahamu kaka ๐๐
Michezo hiyi๐คฃMkuu unataka selikavu asinisaidie aiseh ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ mbinu zote nachota kwenye kucheza nae.
Maskini roho yangu mimi๐
Tugange yajayo ๐๐๐Falaaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ