eFootball Special Thread

Niliwahi gusia hiki wakati Selikavu ana mfundisha trick , match nilio panda nae nikaona uyu ni pro kabisa kasoro kikosi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜‚ Kandambili1 katuingiza kwenye mtego
Kaka najuta ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒleo me ndo wa kuanza kujifunza vitu kwenye mpira wake kwel๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒhapa tulichezwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kaka najuta ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒleo me ndo wa kuanza kujifunza vitu kwenye mpira wake kwel๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒhapa tulichezwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Jamaa hana hata huruma, huenda sub pia zimeniponza ๐Ÿ˜‚

Nilimtoa Drogba nikamuingiza Haaland nikamtoa Kane nikamuingiza Torres ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ