Mabeki wanavutika hana Rb na Lb wale wa kati ndo wanasogeaa kukaba nafasi hizo maana Lmf wake na RMF wanakua mbele kidgNtamuomba friendly
Itabidi unifunge kwenye friendly ya dakika 15Easy mkuu, tunaburudika ๐๐๐
Nafungwa sana mimi ila hizi story tu ๐
Hajakuzoea Razorblade mzaramo๐คฃ๐คฃ๐คฃEasy mkuu, tunaburudika ๐๐๐
Nafungwa sana mimi ila hizi story tu ๐
Hamna mkuu tuzoeane tu, kujazana upepo ndo maisha yetu humu ๐Itabidi unifunge kwenye friendly ya dakika 15
Inabidi apitie uzi kimyakimya kutokea huko nyuma ๐๐๐Hajakuzoea Razorblade mzaramo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hahaha mkuu tupande zetu nini tukamalizane kabisaInabidi apitie uzi kimyakimya kutokea huko nyuma ๐๐๐
Hajui nikipata ushindi nakuwa Ahmed Ally na nikifungwa nakuwa Masau Bwire ๐๐๐
Utakuja uumuke siku moja room goli kumi mzee ๐คฃ๐คฃHamna mkuu tuzoeane tu, kujazana upepo ndo maisha yetu humu ๐
Umeninyanyasa sana kichwa weweInabidi apitie uzi kimyakimya kutokea huko nyuma ๐๐๐
Hajui nikipata ushindi nakuwa Ahmed Ally na nikifungwa nakuwa Masau Bwire ๐๐๐
Hahahaha tutakuwa wote mkuu najua anaenda ninyosha soonUmeninyanyasa sana kichwa wewe
Baadae mkuu.Hahaha mkuu tupande zetu nini tukamalizane kabisa
Nikija huku kama kawaida yani kama nimeshinda mimi ๐Utakuja uumuke siku moja room goli kumi mzee ๐คฃ๐คฃ
Uzuri wa hii michezo ni kutesa kwa zamu, unanikanda sana sasahivi bila huruma ๐Umeninyanyasa sana kichwa wewe
Hamna shida mkuu... Mihangaiko iendeleeBaadae mkuu.
Bila kuchoka.Hamna shida mkuu... Mihangaiko iendelee
kama mandonga vile๐คฃ๐คฃNikija huku kama kawaida yani kama nimeshinda mimi ๐
Nitafungwa na mtu yoyote ila sio weweUzuri wa hii michezo ni kutesa kwa zamu, unanikanda sana sasahivi bila huruma ๐
Ukishinda kama nimeshinda na nikishinda nimeshinda tu ๐kama mandonga vile๐คฃ๐คฃ
Sisi ni people... ๐Nitafungwa na mtu yoyote ila sio wewe
Nikiingia na wewe ni kazi kazi kama division mzee ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Michezo mingi humu๐คฃ๐คฃUkishinda kama nimeshinda na nikishinda nimeshinda tu ๐
Ila humu bata sana ๐
Tutaonana๐๐Sisi ni people... ๐