Tunapishana mno mkuuMkuu mda ni sasa
Khalas ๐๐นnaona kabisa niki kutana na Bwana wa halotel labda tu kandambili afanye yake , una pingamizi bwana slow slow Warld ?๐น๐น
Haya maneno ukiyatafakari kwa umakini zaidi unaona kabisa hii ni tahadhari nimepewa ๐Hahah mkuu kwako sio ngumu kabisa Sina maajabu yoyote hahaha...nakutakia ushindi kwenye hii game.
AIsee haya ngoja tuone ๐Kandambili1 ana hatari anaenda kama haendi ,me ni shabiki yake lakini ningependa bwana wa haloteli arudi tena nimchape ana mdomo sana๐น๐น
Nikimfunga ataomba apewe ban maana... ๐๐๐Razorblade nakukumbusha hujawai mfunga Gilberto๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huyo jamaa kwa huo mpira wake tumuangalie tu maana... ๐๐๐
Sawa bingwaHuyo jamaa kwa huo mpira wake tumuangalie tu maana... ๐๐๐
Kama anabet huyu basi anarusha aviator ๐๐๐
Masta ni Razorblade ๐คฃ๐คฃ๐คฃambaye kaona upo slow me sijui kitu๐๐
Ni vile tu ile kawaida yetu ya kuwa tunaelekezana naona inapotea ila kama Warld akiwa na speed basi naamini atapunguza au kuacha kabisa kutumia aviator, anacheza vizuri na anajua kutumia nafasi ila tatizo ni hilo la speed.Slow slow
Hizo aviator ni kwako tuu kwangu anapanga mpira chini mzee ๐ ๐ ๐ au kwasababu ananimuudu๐คฃ๐คฃHuyo jamaa kwa huo mpira wake tumuangalie tu maana... ๐๐๐
Kama anabet huyu basi anarusha aviator ๐๐๐
Hizo aviator ni kwako tuu๐๐โni kama mimi nikicheza na Gilberto au Negan ni kubutua tuu sifanyi makosa๐๐Ni vile tu ile kawaida yetu ya kuwa tunaelekezana naona inapotea ila kama Warld akiwa na speed basi naamini atapunguza au kuacha kabisa kutumia aviator, anacheza vizuri na anajua kutumia nafasi ila tatizo ni hilo la speed.
Nimeliona kwa sababu mie mwenyewe bado nafanyia kazi kuhusu speed.
Ingekuwa simu yangu iko vizuri ningerecord mechi nzima halafu uone hivyo vindege huko juu ๐Hizo aviator ni kwako tuu kwangu anapanga mpira chini mzee ๐ ๐ ๐ au kwasababu ananimuudu๐คฃ๐คฃ
Ni vile tu ile kawaida yetu ya kuwa tunaelekezana naona inapotea ila kama Warld akiwa na speed basi naamini atapunguza au kuacha kabisa kutumia aviator, anacheza vizuri na anajua kutumia nafasi ila tatizo ni hilo la speed.
Nimeliona kwa sababu mie mwenyewe bado nafanyia kazi kuhusu speed.
Formation yake ili nimfunge lazima aviator ihusike maana wachezaji wake wamejaa mbele na katikati ila mtu anaetumia mfumo wa kawaida kwenye possession ni rahisi kwangu kupiga passHizo aviator ni kwako tuu๐๐โni kama mimi nikicheza na Gilberto au Negan ni kubutua tuu sifanyi makosa๐๐
Sawa masta wa sex ballIngekuwa simu yangu iko vizuri ningerecord mechi nzima halafu uone hivyo vindege huko juu ๐
Kitu ambacho namuelewa ni kwenye kutumia nafasi.Hizo aviator ni kwako tuu๐๐โni kama mimi nikicheza na Gilberto au Negan ni kubutua tuu sifanyi makosa๐๐
Sema unajua mkuu mimi sina baya kabisa, nafasi unazitumia vizuri.Formation yake ili nimfunge lazima aviator ihusike maana wachezaji wake wamejaa mbele na katikati ila mtu anaetumia mfumo wa kawaida kwenye possession ni rahisi kwangu kupiga pass
Ila we jamaa unaniandama au hukutegemea kufungwaKitu ambacho namuelewa ni kwenye kutumia nafasi.
Mtu akinifunga kwa style ya aviator siwezi mpa sifa ila yeye nampa sifa kwenye kutumia nafasi ๐
Yan ungejua mfumo wake una matobo mengi sana usingetumia hata aviator ๐๐๐Formation yake ili nimfunge lazima aviator ihusike maana wachezaji wake wamejaa mbele na katikati ila mtu anaetumia mfumo wa kawaida kwenye possession ni rahisi kwangu kupiga pass
Ntamuomba friendlyYan ungejua mfumo wake una matobo mengi sana usingetumia hata aviator ๐๐๐
Wachezaji wanatoka mno panga pasi moja moja utaona
๐คฃ๐คฃ๐คฃNimechekaIla we jamaa unaniandama au hukutegemea kufungwa
Easy mkuu, tunaburudika ๐๐๐Ila we jamaa unaniandama au hukutegemea kufungwa