Nmekuotea mkuu ๐๐Braza unanikanda alafu unaniomba samahani๐๐๐๐ซต๐ซต๐ซต๐ซต
Masta wewe kaka ushanipiga back to back sasa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Slow slow na mzee wa ndege ๐๐
Hapana hujaniotea na leo umenikuta nimetulia kabisa akili haina Chochote ndo imetoka kuamka...Nmekuotea mkuu ๐๐
Au tulud tuu nikajiulize hizo nne zilifikaje๐๐Slow slow na mzee wa ndege ๐๐
Yaani unataka kunizika kabisa aagh michezo hiyo,Hapana hujaniotea na leo umenikuta nimetulia kabisa akili haina Chochote ndo imetoka kuamka...
Siku ukiwa free twende game tano ๐๐๐
Twende mbili ukanifunge ulidhike.Au tulud tuu nikajiulize hizo nne zilifikaje๐๐
Nijipe friendly nyingi nyingi kabla sijatoka
Amna niwe serious kukukaba๐๐๐hata sikushambulii..Yaani unataka kunizika kabisa aagh michezo hiyo,
Tulud nikakabe mkuu huyo batgoal ananisumbua sasaTwende mbili ukanifunge ulidhike.
Naomba mechi๐๐ Shetani mwenyewe naona hiki kikombe hakiepukiki
We jana umenikba sanaTulud nikakabe mkuu huyo batgoal ananisumbua sasa
Sawa niinvite saivโฆโฆ.Twende
Nilikuwa room na WarldSawa niinvite saivโฆโฆ.
Mbona kawaida kabisa kaka๐๐We jana umenikba sana
๐๐Amna niwe serious kukukaba๐๐๐hata sikushambulii..
Si unaniacha nikae na mpira yan unacheza opposite na mfumo wangu wa kuvizia
Nipee usernameNaomba mechi
We AI legend ndo ucheze nao sisi binadamu tumekushindwa.Warld mbona hulud kaka nakusikilizia View attachment 3435543
CybertrustNipee username