eFootball Special Thread

Baada ya kukosa kazi ya kufanya ๐Ÿ˜‚


Wengine waliorodheshwa huko chini, nikaja kumvuruga bhana akanidanganya eti Joanah na Intelligent businessman nao wanacheza eFootball, nikamwambia acha kunidanganya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃAkili huna kaka
Jamaa jinga sana hilo, limefukua mambo humu lakini eti halijaona taarifa yangu ya kutumia back 3 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Halafu ukiliambia limekosea/kudanganya linajifanya eti lilikuwa linakupima au limefanya makusudi, JINGA SANA HILI. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ