eFootball Special Thread

Yani kumbe licha ya kupoteza mechi ila bado nimeenda bila kupingwa ๐Ÿ˜‚

Ila uongozi wa NEGAN ni batili kabisa ๐Ÿ˜‚
 
Bingwa Gilberto_ kama Ivory coast tuu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Razorblade mzee wa pass million zisizo na faida ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Halafu hizo pass nimepiga kwako tu, sijawahi fikisha hizo pass tangu nimeanza kucheza ๐Ÿ˜‚

Ukiangalia hiyo ratiba hapo utajua nilichokuwa nakifanya, idadi ya hizo pass siyo ratiba ya Jumatano.

Usahihi wa kutambua nafasi ni 50%
 
Yaani unaratiba kabisa ya playing style na nmekufunga woiiih ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ