Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Mkuu hongera kwa ushindi, tutakutana.Razorblade heshima yako mkuu
Hizo ndege imenibidi maana wachezaji wako wapo kila sehemu ๐ pia siwezi kupiga pass sanaWarld upo slow mkuu, jitahidi kuongeza speed pia punguza hizo ndege kaka ๐
Mechi ya pili sikuwa na umakini mkuu nilikuwa naongea na simu na mpaka muda huu bado naongea na simu ๐
Tutakutana ๐ฒ...? Wee sio vita aagh.Mkuu hongera kwa ushindi, tutakutana.
Mechi ya kwanza mpaka ilibidi nianze kucheza simple ili tuende sawa na mwisho wa siku ukafanikiwa kurudisha kwa uzembe wangu ๐Hizo ndege imenibidi maana wachezaji wako wapo kila sehemu ๐ pia siwezi kupiga pass sana
Tutakutana mkuu usijali ๐Tutakutana ๐ฒ...? Wee sio vita aagh.
Sema ningeweka mpira chini ungenifunga nyingi, mbinu ni kulazimisha ucheze nnavotaka.Mechi ya kwanza mpaka ilibidi nianze kucheza simple ili tuende sawa na mwisho wa siku ukafanikiwa kurudisha kwa uzembe wangu ๐
Ila unaubonda mkuu mechi ya kwanza first half ulinisumbua hadi nilitaka ku forfeit ๐๐Tutakutana mkuu usijali ๐
Na ilibidi nicheze hivyo kiasi ilimradi nimalize maana tayari nilianza ingiwa ganzi na hizi simu.Sema ningeweka mpira chini ungenifunga nyingi, mbinu ni kulazimisha ucheze nnavotaka.
Sema tutagusa friendly kesho ukiwa na mudaNa ilibidi nicheze hivyo kiasi ilimradi nimalize maana tayari nilianza ingiwa ganzi na hizi simu.
Anacheza vizuri ila yupo slow sana.๐นhizi dharau sasa kwaiyo Warld bado ana kaba
๐๐๐Hicho kipind si Razorblade alikuwa ananionea๐๐ nikamwambia bro ngoja nitakuwashia siku moja ndo nikamuwwshia๐๐Kipindi kile uli nipiga na smart assist hadi ukaniomba radhi ๐น
Matokeo??Mkuu hongera kwa ushindi, tutakutana.
Nimeyaona chief
Anaongea fact.Sema mwanangu unaongea mno๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ซต
Hakuna cha fact wala nini mwanangu anaongea mno๐คฃ๐คฃ๐คฃAnaongea fact.