๐๐๐ huyu ni pro kitamboKandambili sio mgeni wa games za mpira maana nilicheza nae wakat bado ana 2800 + nili struggle kumfunga ana cheza kama mtu anae jua ila kikosi kika muangusha ๐น
Pass mnapiga 150 hamuoni Goli kwan๐คฃ๐คฃ๐คฃKandambili1 good game mkuu ๐ฅ๐ค
ulinipika vizuri mechi ya kwanza ๐๐ฅ
View attachment 3434222View attachment 3434223
Selikavu
Kandambili1 ni dark horse kwenye hii round anatoa kifinyo kimya kimya๐Kandambili1 good game mkuu ๐ฅ๐ค
ulinipika vizuri mechi ya kwanza ๐๐ฅ
View attachment 3434222View attachment 3434223
Selikavu
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mechi ya pili bhana nilibadilisha formation mara 3 ila bado mambo yakazidi kuwa mabaya....Kandambili1 good game mkuu ๐ฅ๐ค
ulinipika vizuri mechi ya kwanza ๐๐ฅ
View attachment 3434222View attachment 3434223
Selikavu
Haha nimejifunza pia mkuu ๐ฅ๐ค๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mechi ya pili bhana nilibadilisha formation mara 3 ila bado mambo yakazidi kuwa mabaya....
Asante sana mkuu nimejifunza vingi sana kwako... Nimeokota ya muhimu mkuu... Asante.
Mkuu mipira mirefu huyu jamaa ni noma mkuu....kila long ball anaipata yeye...Pass mnapiga 150 hamuoni Goli kwan๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nashukuru mkuu...bado Kuna vingi nastruggle ila najifunza taratibu.....shukrani sana kwa mambo mawili matatu juu ya kikosi.Kandambili sio mgeni wa games za mpira maana nilicheza nae wakat bado ana 2800 + nili struggle kumfunga ana cheza kama mtu anae jua ila kikosi kika muangusha ๐น
Kikubwa ni umemfunga Gilberto kabla ya Razorblade na Drogba wake๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Mechi ya pili bhana nilibadilisha formation mara 3 ila bado mambo yakazidi kuwa mabaya....
Asante sana mkuu nimejifunza vingi sana kwako... Nimeokota ya muhimu mkuu... Asante.
Ligi kaka ilichukua hii Ratiba alafu uzuri mlishakutana๐๐Hivi Selikavu ile ratiba ya kubondana humu imeisha kisa ligi sio?
mana naona napata notification hapa ile siku ya Razorblade imefika ๐๐View attachment 3434242
mkuu bado naotea otea tu....ila tunasogea taratibuKandambili1 ni dark horse kwenye hii round anatoa kifinyo kimya kimya๐
hahahaha mkuu Razorblade nahisi nitaumuka nyingi ... Maelekezo ya kikosi uliyotoa yananisaidia sana...Kikubwa ni umemfunga Gilberto kabla ya Razorblade na Drogba wake๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huyo ndo Long Ball Counter ๐๐Mkuu mipira mirefu huyu jamaa ni noma mkuu....kila long ball anaipata yeye...
Pasi chache hizo mkuu...mambo yalikuwa mabaya hahaha
Shukrani hahah tukutane round ijayo unimalizie kabisaHaha nimejifunza pia mkuu ๐ฅ๐ค
Ni balaa mkuu... Alivyoanza hivi nimestruggle sana.Huyo ndo Long Ball Counter ๐๐
Atakuja na hasira huyo omba msikutane tuu๐๐hahahaha mkuu Razorblade nahisi nitaumuka nyingi ... Maelekezo ya kikosi uliyotoa yananisaidia sana...
usipange hiyo fixture mkuu hahaha pro mkutane wenyeweAtakuja na hasira huyo omba msikutane tuu๐๐
Mtego huu ๐mkuu bado naotea otea tu....ila tunasogea taratibu
Me sio pro kaka๐๐pro ni watatu tuu Negan, Gilberto na Mill Broh ๐๐usipange hiyo fixture mkuu hahaha pro mkutane wenyewe