eFootball Special Thread

Wakuu niombeeni nimeenda kucheza na Kandambili1 Room aseee nimezibuliwa haswaaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Alafu nina game nae za ligi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Humu ndani kila mtu pro sasa


Mr Devil huyu Kandambili1 hafai kaka๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ tutafute tu mwingine wa kutupa points๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿคฃumeingia kichwa kichwa utakula za uso home and away , Kandambili1 ana point zangu sina hofu nae ,nime umia kukosa point zangu kwa Razorblade
 
Mkuu huyo sio mimi hahahaha....siwezi furukuta hivo kwako bado najifunza
 
Braza kaka Razorblade habari za Asubuhi ๐Ÿคฃ๐ŸคฃView attachment 3431923
Dah! Ile siku nilisema natumia coins 300 tu ili zibaki 1500, kilichonikuta mpaka sasa nahisi huenda kuna kauchawi konami wanatumia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Baada ya update ya 2026 nimedhamiria kutunza coins mpaka mwaka unaisha.

I can, I must, I will

Acha nitembee na kauli mbiu yangu ya enzi za shule ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nipo Pale niite Didier Drogba Mavambovic๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ