Ndo unatakiwa ukaze kidole ๐Duh gilberto unagonga pass balaa unatumia simu aina gani๐
Duh 1800 coins in the drain๐Kupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke ๐
View attachment 3430317
Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller ๐
Afu umepata nini?Kupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke ๐
View attachment 3430317
Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller ๐
Congratulations champion
Kwani si tulikubaliana bingwa tunamuombea ban ya masaa? ๐
Bingwa una piga Pass 200 uoni goal lilipo ๐น๐น
Thanks mkuuCongratulations champion
Natamani kutukana kila aina ya tusi hapa nilipo ๐Duh 1800 coins in the drain๐
Goli nalifuata taratibu sina haraka nalo ๐Bingwa una piga Pass 200 uoni goal lilipo ๐น๐น
Sikuwepo kwenye hayo makubaliano ๐๐คKwani si tulikubaliana bingwa tunamuombea ban ya masaa? ๐
Hongera mkuu.
Juzi nilkua natafuta iyo card ya Ronaldinho nika pigwa coins 900 nikaona nikaushe msi cheke ๐น๐นKupoteza coins kunaumiza nyie aisee, haya Selikavu njoo unicheke ๐
View attachment 3430317
Card ya VVD ya kipuuzi tu, imenilia coins kiasi kwamba nikaona nikazitupe kwenye pack ya Koller ๐
Unataka nipate nini mkuu zaidi ya kubaki masikini tu, hata sijui nilikuwa nafikiria nini aisee ๐Afu umepata nini?
kama haujapata kitu, Si bora ungejaribu kesho kwa Ronaldo mana watakuwa wengi pale showtime players zaidi ya 10
Promoter aje tuwaite mods ๐Sikuwepo kwenye hayo makubaliano ๐๐ค
Utajiri wa coins niliokuwa nao hauwezi linganisha na hizo coins ulizopoteza ๐Juzi nilkua natafuta iyo card ya Ronaldinho nika pigwa coins 900 nikaona nikaushe msi cheke ๐น๐น