๐น๐นamna namna ume fika fainal kirahisiDah unanisagia kunguni mwanangu๐
๐น๐นkaka me nimesema lini ivyo
๐น๐นana tugombanisha uyo mkuu , ila lazima umuwekee man marking Bat goal bila ivyo tuta safirishaNaona anataka kuwahi kuwa namba 10 huyo......niweke nae mkuu.
Unakataa tena saiv๐น๐นamna namna ume fika fainal kirahisi
๐น๐นkaka me nimesema lini ivyo
Hii Man marking hairuhusiwi mkuu.๐น๐นana tugombanisha uyo mkuu , ila lazima umuwekee man marking Bat goal bila ivyo tuta safirisha
๐น๐น Kandambili1 umesikia hiiHii Man marking hairuhusiwi mkuu.
Nipewe logo ya Ajqx maana vijana wata anza kuogopa logo ya PSG .Ligi msimu ujao timu zitazoshiriki
Unaweza kubadilisha logo kama hutoipenda
View attachment 3429422
Cc
Alexander Lukashenko Corrie de killer Edo kissy Gilberto_ Kandambili1 Mill broh Mr Devil NEGAN Razorblade Warld
PSG hii iliyopigwa 3 na Chelsea au kuna nyengine?Nipewe logo ya Ajqx maana vijana wata anza kuogopa logo ya PSG .
Chelsea waviziaji kama pogba wakoPSG hii iliyopigwa 3 na Chelsea au kuna nyengine?
Tunamechi leo, ntamuweka Haaland badala yake ๐Chelsea waviziaji kama pogba wako
Hahahahaha mkuu mbona hii ni kutangaziwa msiba mapema.๐น๐นana tugombanisha uyo mkuu , ila lazima umuwekee man marking Bat goal bila ivyo tuta safirisha
Huwa situmiagi hizo mkuu.... Sijui hata ipo wapi๐น๐น Kandambili1 umesikia hii
We endelea na PSG yako๐คฃ๐คฃ๐คฃNipewe logo ya Ajqx maana vijana wata anza kuogopa logo ya PSG .
Nakukumbusha yule ni target manTunamechi leo, ntamuweka Haaland badala yake ๐
Dah assee๐๐View attachment 3429637
Nisipokaza roho hapa kesho mnaweza nikuta Amana kwa kupoteza coins zote ๐๐๐
Kipenzi cha wengi yupo hapo, kuna watu watapambana sana kumpata ๐๐๐
Halafu anakula instruction ya Counter terget.Nakukumbusha yule ni target man
SIkilizia milio kesho ๐Dah assee๐๐
Mmoja wapo ni wewe๐SIkilizia milio kesho ๐
Hata ikiwa mpaka saa 12 jioni, itaisha tu.Kesho kutakuwa na maintainance saa 11 mpk saa moja๐