Uyu ata aki kubali rate yake itashukaWakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?
Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162
NEGAN Gilberto_ Mill broh
Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA ๐
Hamia slot ya pili, baada ya kupata hiyo LMF ya kijani ambayo haijakolea mkuu.Wakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?
Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?
View attachment 3429161
View attachment 3429162
NEGAN Gilberto_ Mill broh
Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA ๐
Mtu wa maana kabisa wewe kijana ila basi tu unakauchizi kaasili ๐Mwache hiyo slot one tumia slot 2 sasa mpk apate LMF
hIzo slot zote mbili inabid ziwe na LMF
Ndiyomaana nataka kumzingatia mkuu.For your information ana phenomenal pass huyo jamaa
Dah! Ungejua usingenitukana kiasi hichi ๐Matajiri mna simu mbili mbili๐
Kumekucha ๐Coin zako na hizo position training tutazidiscuss baadae๐๐๐
Ukute J'Pili leo wameamua kutoa sadaka ๐Wamenipa huyu Leo๐
Hili lipo kwenye ratiba mbona, tusubiri mkeka.๐น๐นhatari sana ,Selikavu atupe mkeka tupande mshindi wa 3
Haishuki mkuu, tayari nimefanikiwa bado booster tu.Uyu ata aki kubali rate yake itashuka View attachment 3429172
Tayari nimefanikiwa mkuu.Hamia slot ya pili, baada ya kupata hiyo LMF ya kijani ambayo haijakolea mkuu.
Haiwezekani uwe na mabakuli mawili ya kuombea sadaka halafu upewe yote ๐Labda account nyingine wamenipa basi๐
Mzee una moto ๐We twende fainali kesho, ligi mpya j3.
Achana na ushauri ๐
๐๐ twende tucheze kwa nini ligi iishe tu kizembeMzee una moto ๐
NEGAN Gilberto_ Razorblade Mr DevilWakuu...
Tukutane kwenye Fainali na Mshindi wa tatu...
Mechi moja dakika 10 condition excellent Extra time and Penalties On
All the Best
View attachment 3429266