eFootball Special Thread

next week mkuu...


Kuna ligi inaendelea humu mkuu...


Kuanzia saa nne nne kila siku unakuwa na match moja ya kucheza


Utaweza kuwepo next week tukuweke...
Niweke
next week mkuu...


Kuna ligi inaendelea humu mkuu...


Kuanzia saa nne nne kila siku unakuwa na match moja ya kucheza


Utaweza kuwepo next week tukuweke...
Niweke ( Mjukuu11
 
Razorblade, Good game. How did you feel now? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” View attachment 3428926Adams lazima akushuhulikie si ulisema juzi kakuotea.View attachment 3428928View attachment 3428927Narudi ๐Ÿ˜‚๐Ÿคž๐Ÿ™Œ
Hakuna nilichofeel aisee yani naingia room tu mechi ya kwanza simu nayo inaita ๐Ÿ˜‚

Unalazimisha kumwambia lala upumzike usiku sasa lakini wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mechi ya pili nikaona bora nirelax tu nijipigie vipasi vyangu golini ๐Ÿ˜‚
 
Pasi zote kwa kipa nilimind ndo mana nikawasha full red na mimi๐Ÿ˜‚
 
Umalaya tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. mi sikuizi nikiingia game nazima hiyo laini ya mawasiliano sitaki kelele. Mtu unaongoza mechi ya muhimu goli 3 kwenda mbele afu unakatishwa tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”View attachment 3428970
Tatizo ni simu 2 kaka kwahiyo nikiwa kwenye game ni rahisi mtu kujua maana umakini kwenye maongezi hupungua ๐Ÿ˜‚
 
Wakuu leo nimepata bahati ya epic kwenye daily login Riqui Puig nimemtrain awe LM lakini haijawa kijani kibichi kabisa kama ilivyo kwenye hizo nafasi zingine, naombeni msaada nifanyaje hapo?

Au niendelee kumtrain mpaka iwe kijani kibichi kama hizo nafasi zingine?



NEGAN Gilberto_ Mill broh

Selikavu nakuongeza tu kwenye list kwa sababu wewe ni CIA ๐Ÿ˜‚
 
Mwache hiyo slot one tumia slot 2 sasa mpk apate LMF

hIzo slot zote mbili inabid ziwe na LMF
 
Coin zako na hizo position training tutazidiscuss baadae๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ