Aje tu achukue pwenti zake mie sina shida ๐Kaa hapa umngojee๐๐
Drogba yupo anamsubiri๐Aje tu achukue pwenti zake mie sina shida ๐
Mkuu punguza presha huyo uliyemtag siyo mwenyewe ๐mill broh tumalizane kabisa nichape usingizi๐
Ingia kwenye gameUko wapi mkuu nikupe pwenti zako ๐
Ndo naingia hapa baada ya kumalizana na mizimu ya 666 ๐
Drogba kawaka mkuu, ila leo nimeongea sana huko room kazi nitakuwa nayo ๐Drogba yupo anamsubiri๐
Utajitetea tusubiri yako irudiMkuu simu yangu ilipata shida kidogo ila tuma code nina simu ya mtu hapa ana Efootball twende...
Nakuja mkuu nipe dakika kadhaa nihamishe laini.Ingia kwenye game
Unaendelea kuruka ruka ๐คฃ๐คฃ๐คฃNakuja mkuu nipe dakika kadhaa nihamishe laini.
Namuogopa osimhen๐Mkuu punguza presha huyo uliyemtag siyo mwenyewe ๐
Tuma invite hiyo nafungua game hapa ๐Unaendelea kuruka ruka ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kazi njema ๐Namuogopa osimhen๐
Hapana mkuu nipo vzrUtajitetea tusubiri yako irudi
Kuruka ruka kwa maharage๐คฃ๐คฃ๐คฃndo kuiva kwenye huko๐๐Unaendelea kuruka ruka ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tupande saivi nilale.Nipo mkuu
Adhabu yako inaenda kuongezeka mi natuma invite dakika zote haufiki ๐ ๐Tuma invite hiyo nafungua game hapa ๐