Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Wewe umeota kuwa leo tunaanzisha tournament umeamua kuleta hicho kisingizio ๐Nilimpa Account ya Selikavu mara ya kwanza๐๐
Jana ndo nikamwambia aachane na selikavu nampa yangu kubwa๐๐๐
Sasa hujaelewa nn hapo kaka๐คฃ๐คฃ
Mimi siwezi kukukimbia๐๐
Saa 5 kamili tukiwashe๐ tutacheza night
Hizi mechi si zinapigwa ule muda wetu saa 4:00 mpaka saa 5:59?HII ROUND 1 ๐ต
Mill broh v Edo kissy
Razorblade v Mr Devil
NEGAN v Gilberto_
Sheria.
Dakika 10, Conditions - EXCELLENT, no EXTRA, no PENALTIES.
Matokeo mtatuma humu humu wakuu..
๐ฅ๐ฅ kiwake, ukituma matokeo utanitag mimi au Selikavu ili yarekodiwe
View attachment 3423241
Me nasoma upepo kwanza tungekuwa saba isingenoga๐คฃ๐คฃ๐คฃWewe umeota kuwa leo tunaanzisha tournament umeamua kuleta hicho kisingizio ๐
Sawa kaka ๐Saa 5 kamili tukiwashe
Kikosi chako kinajulikana, haiwezekani shindano lihusu timu ya Simba wewe upeleke timu ya Yanga ๐Natumia chake๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ushawai kutana na mimi nikiwa na Constacurta, Cafu na Batistuta ogopa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐ซต
Tuweke deadline saa 6 usiku au mnasemaje?Hizi mechi si zinapigwa ule muda wetu saa 4:00 mpaka saa 5:59?
NdiyoHizi mechi si zinapigwa ule muda wetu saa 4:00 mpaka saa 5:59?
Namtwanga mpaka achanganyikiwe ๐Me shabiki wa Mr Devil๐คฃ๐คฃ๐คฃlazima ukae leo๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ซต
Mi nadhani kipigwe muda wowote tu, mkiwa free ila deadline ifahamike muda fulani.Ndiyo
Sema nitaomba kwa wale ambao hawtokuja online kwa leo tuwape another chance maana imeanza ghafla mno
Mtajua wenyewe si mwanitaka๐คฃ๐คฃKikosi chako kinajulikana, haiwezekani shindano lihusu timu ya Simba wewe upeleke timu ya Yanga ๐
Ndiyo ni sahihi sema tushazoea humu muda wetu wa match ni saa nne usiku ๐๐Mi nadhani kipigwe muda wowote tu, mkiwa free ila deadline ifahamike muda fulani.
Ndo hiyo saa 5:59 ikifika saa 6 tayari ni siku nyingine hiyo kama mtu hajatokea aliyepo online anapewa win.Tuweke deadline saa 6 usiku au mnasemaje?
Poa mkuu, muhimu kutag matokeo.Mi nadhani kipigwe muda wowote tu, mkiwa free ila deadline ifahamike muda fulani.
Sipo pale kwenye fixturesNdo hiyo saa 5:59 ikifika saa 6 tayari ni siku nyingine hiyo kama mtu hajatokea aliyepo online anaoewa win.
Weka na game instruction kabisa mkuu.
Nimeona โSipo pale kwenye fixtures
Uhakika kabisa, wengine anzeni basi tuone vipigo vinaendaje ๐EDITED PALE, SAA 5:50 MWISHO KUSUBMIT MATOKEO.
Anza wewe ๐Uhakika kabisa, wengine anzeni basi tuone vipigo vinaendaje ๐