Hahaha nipo ready ๐คฃ๐๐๐ Razorblade kajichanganya๐๐
Hapa me team Gilberto mapema๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ฅ
Alhamic kinawaka ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Ewaa that's spirit ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ฅHahaha kwamba kikosi kilikuwa kinatisha au? ๐
Haina noma, alhamisi mbali we ukiniona online hata leo tuma tu invite ๐
Kwel mkuu kama mimi hapa saiv nina 3150 na nimeanza mwaka huu mwezi wa pili ๐๐๐ mpaka mwakan konami wakiendelew kutubless hawa epic wa bure nitafika 3200 mapema mno๐๐๐Sema wakuu, mi naona saivi wanavyogawa epics za 105 naona kufika 3200 ni kitu kirahisi tu.. mimi account zote 2 nilizonazo saivi strength inafika 3175+
Naona kwa vile watu wenye game lao wameshaanza kufikia 3300+ wengine tutabanana 3200 saivi ๐
Duh division inazidi kuwa ngumu watu wana mavikosi aiseeKwel mkuu kama mimi hapa saiv nina 3150 na nimeanza mwaka huu mwezi wa pili ๐๐๐ mpaka mwakan konami wakiendelew kutubless hawa epic wa bure nitafika 3200 mapema mno๐๐๐
Kuna group nipo tsap baada ya konami kuwatoa Oliver khan na Cannavarro wa bure jamaa akasema kama kikosi chako hujatumia zaid ya million 2 kukitengeneza hachezi na wewe๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naona saiv 3300 zimeanza kuwa nyingi View attachment 3421561
Dah nimefika 1700 nimeona division kugumu sivuki 1750 napanda nafika mpka 1750 game zitakazofuata hapo nadraw nafungwa nalud 1680 huko๐๐๐napambana tena naludi mpka 1750Duh division inazidi kuwa ngumu watu wana mavikosi aisee
Kama vicious cycle ya poverty vile๐. Ukifika 1700+ unahitaji kuwa na roho ya paka ili uweze kufika division 1๐Dah nimefika 1700 nimeona division kugumu sivuki 1750 napanda nafika mpka 1750 game zitakazofuata hapo nadraw nafungwa nalud 1680 huko๐๐๐napambana tena naludi mpka 1750
Jana nikasema nitaamka asubuhi ๐๐ nicheze division
Leo nimeamka akili imetulia nacheza mpira vzr nikakutana na script za kutosha๐๐๐
Hii badge nadhan nitaachana nayo tuu mambo yashakuwa mengi
Acha tuu mkuu yan sivuki 1750 nimefika kama sio mara 15 sijui nashuka napanda ๐๐๐Kama vicious cycle ya poverty vile๐. Ukifika 1700+ unahitaji kuwa na roho ya paka ili uweze kufika division 1๐
Sijasema Alhamisi wewe acha uchawa, nimesema baada ya maintanance ya Alhamisi ila sijataja siku ๐๐๐๐ Razorblade kajichanganya๐๐
Hapa me team Gilberto mapema๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ฅ
Alhamic kinawaka ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Jeshi la mtu mmoja hili wewe ๐Unajua siwezi kukushabikia kaka๐คฃ๐คฃ๐คฃlolote baya likukute tu huko Room๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3421499
Tatizo mie huwa sikimbii room hata unifunge mechi 5+, tusubiri baada ya maintanance mkuu ๐Hahaha kwamba kikosi kilikuwa kinatisha au? ๐
Haina noma, alhamisi mbali we ukiniona online hata leo tuma tu invite ๐
Tatizo lako zile sms unafuta badala ya kuzizingatia ๐Acha tuu mkuu yan sivuki 1750 nimefika kama sio mara 15 sijui nashuka napanda ๐๐๐
Au Razorblade unaniloga kaka๐๐๐คฃ nisamahe nikiipata badge sijii kukukutambia kaka
Kwahiyo me ni Lukas Mwashambwa wa GilbertoSijasema Alhamisi wewe acha uchawa, nimesema baada ya maintanance ya Alhamisi ila sijataja siku ๐
Mashabiki zako Edo kissy hakosekan๐คฃ๐คฃ๐คฃJeshi la mtu mmoja hili wewe ๐
Mwanangu unawaletea ushirikina adi wajapani๐คฃ๐คฃ๐คฃTatizo lako zile sms unafuta badala ya kuzizingatia ๐
Wakiweka na benchi la ufundi simu yako itazima kaka๐๐๐Hili game siku za mbele litakuwa ghali zaidi maana hizi update zinazidi kuliboresha na baadhi ya simu zitashindwa kulihimili.
View attachment 3421736
Inasemekana update ya 2026 inaongeza graphics kiasi cha misuli pamoja na tattoe za wachezaji kuonekana.
View attachment 3421739View attachment 3421740
Ila wafanye wafanyavyo mie nataka subs zinapofanyika zionekane kwenye touch line na benchi la ufundi liwepo siyo kama hivi wanavyotokea kusiko julikana baada ya goli la dakika za jioni ๐
Ngoja tuone ๐Mashabiki zako Edo kissy hakosekan๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Washirikina ni wao wanaotuwekea epic card 5 kwenye pack ya card 300 ๐Mwanangu unawaletea ushirikina adi wajapani๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Napakua bluestacks naliweka kwenye PC ๐Wakiweka na benchi la ufundi simu yako itazima kaka๐๐๐