eFootball Special Thread

Promoter Selikavu mbona sijaona matokeo ya mechi ya malengendi NEGAN v..

Au imekuwa sare kama Kibwana v Nkane ๐Ÿ˜„
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Mi mi hajatokea๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Jumapili ijayo kuna watu huwa wanakimbiana humu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Edo kissy na Mr Devil ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ”ฅ


Jumapili tutaomba kiwake๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Tunaomba kati kati ya week msicheze pamoja๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Jumapili match 3 za nguvu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Inaonesha huyo Mi mi hakulipwa stahiki zake za mechi ๐Ÿ˜„
 
Mkuu nilikuwa nikichungulia kikosi chako tu hata nikikuona online situmi request ๐Ÿ˜‚

Ila sasahivi huwa nikikuona online nakutamani, tutakipiga baada ya maitanance ya Alhamisi ๐Ÿ˜‚
Unajua siwezi kukushabikia kaka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃlolote baya likukute tu huko Room๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mkuu nilikuwa nikichungulia kikosi chako tu hata nikikuona online situmi request ๐Ÿ˜‚

Ila sasahivi huwa nikikuona online nakutamani, tutakipiga baada ya maitanance ya Alhamisi ๐Ÿ˜‚
Hahaha kwamba kikosi kilikuwa kinatisha au? ๐Ÿ˜‚

Haina noma, alhamisi mbali we ukiniona online hata leo tuma tu invite ๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ