Alafu hata huyo Beckham anafika 102 kwa huyo kocha.Kutana na Guardiola wa 102View attachment 3416111
Muda wa kuumiza kichwa sasa๐๐Badae usiku muwe online nitest kama kweli ni mfupi
View attachment 3416516
booster yake ni ipi kakaAlafu hata huyo Beckham anafika 102 kwa huyo kocha.
Sawa mkuu ๐.. ko saivi hauchezi tena Quick Match pale?Badae usiku muwe online nitest kama kweli ni mfupi
View attachment 3416516
Ngoja nakupa trainings na boosterB
booster yake ni ipi kaka
Huyu jamaa na Quick match bora umuue๐๐๐ hawez acha kucheza๐คฃ๐คฃSawa mkuu ๐.. ko saivi hauchezi tena Quick Match pale?
Fanya hivyo kaka utakuwa umetishaNgoja nakupa trainings na booster
Nimekuambia Xabi Alonso maana huwa unalalamika sana hapo kati kati๐๐๐๐๐คฃBado sijajua namchukua nani
Tatizo pale wananiletea sana watu wana strength za 2000+ hawatoi ushindani๐Sawa mkuu ๐.. ko saivi hauchezi tena Quick Match pale?
Booster, Technique.Fanya hivyo kaka utakuwa umetisha
Pale wengi wasiojua game wanagusa tu.. hata mi kipindi nimeanza nilikuwa nacheza pale, nikitoka events nahamia pale ๐Tatizo pale wananiletea sana watu wana strength za 2000+ hawatoi ushindani๐
DANIELSON mkuu, hautojutia maamuzi yako ๐๐คBado sijajua namchukua nani
Huyu mwamba(Cannavaro) juu anaenda vizuri tu.Badae usiku muwe online nitest kama kweli ni mfupi
View attachment 3416516
Utani wa ngumi huu๐DANIELSON mkuu, hautojutia maamuzi yako ๐๐ค
Sehemu yangu ya training hiyo ๐Pale wengi wasiojua game wanagusa tu.. hata mi kipindi nimeanza nilikuwa nacheza pale, nikitoka events nahamia pale ๐
Unyama kakaโBooster, Technique.View attachment 3416518
Unatumia Japan mkuu๐๐๐Welcome to the club
View attachment 3416512
Cannavarro wako mtrain CF kaka anafunga mno๐คฃ๐คฃ๐คฃ