Kikao cha mwisho kabisa watu walisema makipa wa 105 hawapatakinani kirahisi kwahiyo tuondoke na kipaCannavaro Mfupi au Forlan?
Nacholikubali lina graphics kali, hata mtu akitoka jasho unaliona! nikimaliza kucheza nihamie DLS naona DLS la kiboya sana, nishalifuta.Amna utalizoea tuu...
Me nilikuwa nacheza DLS since 2014 nimeliacha mwaka huu mwezi wa pili ndo nikahamia hukuNacholikubali lina graphics kali, hata mtu akitoka jasho unaliona! nikimaliza kucheza nihamie DLS naona DLS la kiboya sana, nishalifuta.
Tuma kikosi chako upewe pia ushauri...Nacholikubali lina graphics kali, hata mtu akitoka jasho unaliona! nikimaliza kucheza nihamie DLS naona DLS la kiboya sana, nishalifuta.
Username?Bado ndio naanza hili game ni gumu balaa
Kweli mmepania ๐Kikao cha mwisho kabisa watu walisema makipa wa 105 hawapatakinani kirahisi kwahiyo tuondoke na kipa
Oliver Kahn๐Cannavaro Mfupi au Forlan?
๐น๐นinabidi konami watuongezee selection siwe mbiliIts confirmed now wote epics 15 wanarudi. Lets gooo Olver Kahn๐
Me khan anisamehe tuu nitaenda na CannavarroIts confirmed now wote epics 15 wanarudi. Lets gooo Olver Kahn๐
Kaka mbona unabadilisha gia angani๐Me khan anisamehe tuu nitaenda na Cannavarro
Mkuu Cannavaro mtu bila kupoteza muda napita nae ๐Me khan anisamehe tuu nitaenda na Cannavarro
Ubaya ni kwamba makipa wanakuja wengi ila beki ngumu za hivi ukimkosa for free basi sahau kumpata kirahisi ๐Kaka mbona unabadilisha gia angani๐
Usiangalie rate yake mkuu ila zingatia mahitaji ya kikosi chako.Its confirmed now wote epics 15 wanarudi. Lets gooo Olver Kahn๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Kwahiyo tulud kwenye msimamo ama wote tuwe na khan๐๐๐Kaka mbona unabadilisha gia angani๐
Mkuu Cannavaro mtu bila kupoteza muda napita nae ๐
Kipa wa 105 ni Rare case mzeeUbaya ni kwamba makipa wanakuja wengi ila beki ngumu za hivi ukimkosa for free basi sahau kumpata kirahisi ๐
Mbilikimo hiyo akikutana na Drogba wa Razorblade hatoboi๐Me khan anisamehe tuu nitaenda na Cannavarro
Ngoja selection ifiike tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ ndo maamuzi ya mwisho yatafanywa๐๐Mbilikimo hiyo akikutana na Drogba wa Razorblade hatoboi๐