Ppw pwNiinvite
Kazi njema.Ngoja nikakiwashe na Mrussia๐๐
Vipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?Yani huyo haji mkuu labda umuote ndotoni ๐
Yupo vizuri mkuu, jana amefanya save 6 za SelikavuVipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?
Good game mkuuโฆ.Ppw pw
Huyu Khan anadaka aseee๐๐Vipi Kahn umemuonaje ana mikono 100 kweli au Pazia?
Aah pole mkuu ungepiga pause ukazimaGood game mkuuโฆ.
Naona smart assist ilikuwa on, nashindwa kufanya vitu vyangu.
Kesho tena
Nilicheki hakuna mpaka urudi Home kabisa.Aah pole mkuu ungepiga pause ukazima
Sawa sawaaa kesho tutaenda tena mkuu...Good game mkuuโฆ.
Naona smart assist ilikuwa on, nashindwa kufanya vitu vyangu.
Kesho tena
Labda wametoa๐๐me ishanishinda๐๐Nilicheki hakuna mpaka urudi Home kabisa.
Ndio maana kila nisogelea game wanapiga juu wakati Baggio mfupi ๐๐
Hujalala tuu kaka๐๐bomboclaat
Chill mkuuHujalala tuu kaka๐๐
Kahn hatoki golini isipokuwa kwa dharula ๐Niludishie Ludovic basi kaka ๐๐
Siyo nitaulizia ila hii ni sheria lazima ifatwe ๐Sawa sawaaa kesho tutaenda tena mkuu...
Kuja kijana atauliza matokeo ngoja nimuwekee kabisa
Razorblade matokeo haya hapa View attachment 3416354
View attachment 3416356
Bado ndio naanza hili game ni gumu balaaPole sana mkuu๐๐
Amna utalizoea tuu...Bado ndio naanza hili game ni gumu balaa