Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hizi skanka zitakuua mkuu ๐Chukua khan bhana ๐๐
Jini hilo ๐Tushindane kumfunga๐คฃ๐คฃ
Anaweza asijeJini hilo ๐
Haji ๐Lile jini likija kesho siliachi๐
Basi mchukue Rooney ๐Ukiacha smeichel hamna mwingine ana fit playstyle yangu labda Rooney hole player na Xabi
Nimemwambia huyo na mbaya zaidi hana nguvu ๐, ukiniwekea huyo na Drogba napita na Dorgba ๐Utamuweka benchi tu ๐Fox in the kuwatumia ni kazi hawana runs nyingi kama goal poacher
Robert carlos ni best attacking Fullback kwenye gameBinafsi sina left beki mkuu nahitaji nipate nadhan Robert carlos atanifaa??
Pole sana mkuu๐๐Dah mi wa kufungwa 10-0
Pole mkuu.Dah mi wa kufungwa 10-0
Me nawaambia mtamkimbia huyu ๐๐๐Nimemwambia huyo na mbaya zaidi hana nguvu ๐, ukiniwekea huyo na Drogba napita na Dorgba ๐
Asipokuja Kahn sina namna Rooney ๐Basi mchukue Rooney ๐
Huyo hanitishi ๐Me nawaambia mtamkimbia huyu ๐๐๐
Naona pale kuna Lb wawili mmoja wa Barcelona kama atakuwa ni Defensive nitapita naye huyo ila Roberto Carlos atanifaa kwenye LBC yanguRobert carlos ni best attacking Fullback kwenye game
Kahn haji mkuu mbona hutaki kuelewa ๐Asipokuja Kahn sina namna Rooney ๐
Ukiwa free siku twende game tatu ๐๐Huyo hanitishi ๐
Punguza uchawi anaweza asije kweli ๐ ๐Kahn haji mkuu mbona hutaki kuelewa ๐
Niko training mimi hekaheka sitaki ๐Ukiwa free siku twende game tatu ๐๐
NiinviteMkuu naona haupo online
Yani huyo haji mkuu labda umuote ndotoni ๐Punguza uchawi anaweza asije kweli ๐ ๐