eFootball Special Thread

Nunez amepika kazi sana๐Ÿ˜ƒ sijapata replacement yake. Van Basten ukitmtumia utanipa tips. Sijawahi cheza na striker fox in the box
Me nitamtumia kwa counter zangu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒcross siwezi piga ila so far mipira ya juu yote anawin yeye

Na booster yake moja ni Aerial...

Pia ana skills ya heading na Aerial Superiority plus one touch pass na Through passing

Mwisho kabisa ana phenomenal finishing ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Nadhan ana sifa zako zote
 
Nilichotaka kumaanisha ni kwamba hiyo ni back 3 inapendeza build up akiwa kati na destroyers wakae pembeni yake, hii inampa wepesi zaidi kuchukua mipira kwa kipa na kuanzisha mashambulizi.
Aaah inategemeana na mpira wake๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃTwende Room
Mimi sijaongea ili tuende room, alinishawishi baada ya kuona ni fox in the box ๐Ÿ˜‚

Nimeenda eFHUB kulinganisha nimeona bado Drogba yuko vizuri Offensive na Physical.
 
Mimi sijaongea ili tuende room, alinishawishi baada ya kuona ni fox in the box ๐Ÿ˜‚

Nimeenda eFHUB kulinganisha nimeona bado Drogba yuko vizuri Offensive na Physical.
Drogba ni physical tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒalafu kwa mchezo wangu hanifai mzito mno...

Nadhan hata Batistuta angenishinda kumtumia
 
Drogba ni physical tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒalafu kwa mchezo wangu hanifai mzito mno...

Nadhan hata Batistuta angenishinda kumtumia
Siyo physical tu mkuu we nenda eFHUB kafanye comparison utaona hata Offensively Basten kazidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ