eFootball Special Thread

Bale hawezi kukosa. Ila kwa kina Oliver Kahn KONAMI navyowajua sidhani kama watarudi๐Ÿ˜ƒ
Asirudi tu ndo vizuri, mie kikosi cha kutengeneza kwa wachezaji wa bure siwezi mpuuzia Bale ๐Ÿ˜‚

Blitz curler kuwapata ni ghali kweli halafu nimuache!? Big No ๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒAmna messi aende tuu benchi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Una utani na Messi๐Ÿ˜€ Ronaldo mwenyewe ilikuwa kipengele mpaka nimempumzisha niliikosa ile pack ya Al Nasr alikuwa anafika 106 kama sikosee huyu Ronaldo nilienae kuna vitu ana miss
 
Una utani na Messi๐Ÿ˜€ Ronaldo mwenyewe ilikuwa kipengele mpaka nimempumzisha niliikosa ile pack ya Al Nasr alikuwa anafika 106 kama sikosee huyu Ronaldo nilienae kuna vitu ana miss
Ila kila mtu na mchezo wake๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒme kwangu hawezi mikiki yangu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ