Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hii ndo mbaya ๐Hadi usiku utakuta chance deal ime expire ๐ .
Bastoni amuweke benchi Pique hell no. Jaribu Combo ya Van dijk na Pique uone maajabu. Van dijk ana deal na mipira ya juu Pique anafagia.Nime ambulia uyu ila atakaa benchi hawezi anza mbele ya van dijk na Baston View attachment 3413081
Nashangaa sana yani Puyol akae benchi halafu Bastoni aanze, ila kila mtu na taste yake.Bastoni amuweke benchi Pique hell no. Jaribu Combo ya Van dijk na Pique uone maajabu. Van dijk ana deal na mipira ya juu Pique anafagia.
Nitaleta mkuu wakizitoaBooster ya puyol ?
Ngoja nikaspin tu, hapa nitajikuta naondoka kabla ya muda ๐Nitaleta mkuu wakizitoa
Nipe Account huna jinsi kijana ๐คฃ๐คฃ๐คฃNa hapa nilipo hakuna hata mtu mwenye eFootball, wanacheza makatuni ya DLS tu ๐
Ubaya ni kwamba account ina email halisi na humu kila mtu anatumia ID fake ๐Nipe Account huna jinsi kijana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkuu puyol na Tony Adams unaenda na yupi??Bastoni amuweke benchi Pique hell no. Jaribu Combo ya Van dijk na Pique uone maajabu. Van dijk ana deal na mipira ya juu Pique anafagia.
We kichwa si una ad namba yangu ๐คฃ๐คฃ๐คฃUbaya ni kwamba account ina email halisi na humu kila mtu anatumia ID fake ๐
Long ball counter Tony, Quick counter PuyolMkuu puyol na Tony Adams unaenda na yupi??
Ah sawaa mkuuLong ball counter Tony, Quick counter Puyol
Tulia kwanza nispin hapa ๐We kichwa si una ad namba yangu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naona tumepewa pamoja ๐คฃ๐คฃ๐คฃsema una mastriker wengi mzee๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Umeshalud geto??Tulia kwanza nispin hapa ๐
Na narudi nilipokuwa, nimefanikiwa na booster nimepatia ๐Umeshalud geto??
Umempata nani??๐คฃ๐คฃNa narudi nilipokuwa, nimefanikiwa na booster nimepatia ๐
Dah๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKonami baada ya kuona wamempa Selikavu striker tishio vile hawana baya wameamua kunipa nyanda tishio ili vita iwe ngumu ๐
View attachment 3413116
View attachment 3413117