Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Simu sipo nayo ๐Ingia kwenye game kaka
Leta account yako๐คฃ๐คฃ๐คฃ(Am kidding bruh)๐คฃ๐คฃ๐คฃSimu sipo nayo ๐
Daah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi ๐Ingia kwenye game kaka
Ile bado wameleta leo noma sana me nimepata Van Basten wa 105
Daaah huyo hata mimi namtaka ๐Selikavu kumbe Van Basten ni fox in the box ๐
Nikupe kweli?Leta account yako๐คฃ๐คฃ๐คฃ(Am kidding bruh)๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ngojea hiyo ipo tuu๐๐ile account yangu ya Japan wamenipa Puyol๐๐Daah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi ๐
Nah bro nisije nikajinx ngojea uspine kwa mikono yako mwenyewe ๐๐๐Nikupe kweli?
Mie sina baya ๐
Hongera kakaNime ambulia uyu ila atakaa benchi hawezi anza mbele ya van dijk na Baston View attachment 3413081
Ya stream nimekosaHongera kaka
Hapa kuna mawili, nikimbie simu ilipo muda huu halafu nirudi au niwahi kutoka hapa mapema kabla ya muda wake ๐Ngojea hiyo ipo tuu๐๐ile account yangu ya Japan wamenipa Puyol๐๐
Hiyo kapata Negan tuu me pia nimeikosaYa stream nimekosa
Acha woga ๐Nah bro nisije nikajinx ngojea uspine kwa mikono yako mwenyewe ๐๐๐
Wai kutoka tuu kaka (Second Option)Hapa kuna mawili, nikimbie simu ilipo muda huu halafu nirudi au niwahi kutoka hapa mapema kabla ya muda wake ๐
Naanzaje kukuambia wamekupa Batistuta tena๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha woga ๐
Sema ni jau hawa, nimechelewa kutoka home kwa sababu yao halafu wanakuja kufungua spin nikiwa sipo home ๐Wai kutoka tuu kaka (Second Option)
Hadi usiku utakuta chance deal ime expire ๐ .Daah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi ๐
Na hapa nilipo hakuna hata mtu mwenye eFootball, wanacheza makatuni ya DLS tu ๐Naanzaje kukuambia wamekupa Batistuta tena๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Just kidding hayupo pale ๐คฃ๐คฃ๐คฃ