Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
We nitumie mimi nitampa maelekezo ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃAna lipa namba ya TTCL nimtumie hela anisaidie saiv๐๐
Hizi text huwa zinanifurahisha sana, sasahivi naona zimeanza kuja mpya zinaanza na โAuโ ๐Umemaliza Kila kitu๐๐
Kesho inasubiriwa kwa hamu.
Nimekutana nayo huko mkuu, hawa Konami sijui wanatuonaje ๐Wakuu mmeoina hii selection contract ya Big time pack?View attachment 3412915
Nimechukua Rijkaard chap๐Nimekutana nayo huko mkuu, hawa Konami sijui wanatuonaje ๐
Sema jamaa wanajua sana, hii yote ni kulifanya kuwaburudisha wachezaji ๐
Kwani bado ipo hewani?Nimechukua Rijkaard chap๐View attachment 3412993
Scan hii QR code utapata link then fungua kisha register. Uki register subiri watakupaKwani bado ipo hewani?
Hii imenipita๐ฅบWakuu mmeoina hii selection contract ya Big time pack?View attachment 3412915
Wametoa na chance deal ya legend assemble nimepata Casillas.Konami never disappoint ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nimepata Van bastenWametoa na chance deal ya legend assemble nimepata Casillas.
Jaribu bahati yakoHii imenipita๐ฅบ
Umetisha nitamchagua kama atakuwepo kwenye selection contractNimepata Van basten
Nimekuja kuingia nishachelewa sijui ilikuwa inakataa kwenye muda wa stream ilikuwa imejamScan hii QR code utapata link then fungua kisha register. Uki register subiri watakupaView attachment 3413034
Dah mimi niliforce na voda. Nimekaa masaa matatu ndio wamenipa selection contract.Nimekuja kuingia nishachelewa sijui ilikuwa inakataa kwenye muda wa stream ilikuwa imejam
Umetisha nitamchagua kama atakuwepo kwenye selection contract
Me ilivyogoma nikaacha ๐๐Dah mimi niliforce na voda. Nimekaa masaa matatu ndio wamenipa selection contract.
Huyo anakufaa sana Mr counter attack ๐