Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Kwamba ndo mie nitakuwa nimeambulia Beckham na Adams peke yake, namtaka Kante na huyo LMF(Cross specialist) ila kwa hizo siku zilizobaki hapo itakuwa uongo.Zimebaki siku 11 expire date ifike
๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบWanipe Serginho kesho jaman๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบkante ndo nimeshamkosa๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบZimebaki siku 11 expire date ifike
Hawakupo, utaoata hizo card za akina Carvajal ๐๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบWanipe Serginho kesho jaman๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบkante ndo nimeshamkosa๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
Kaka tunabahati mbaya kila sehemu๐ฅบKwamba ndo mie nitakuwa nimeambulia Beckham na Adams peke yake, namtaka Kante na huyo LMF(Cross specialist) ila kwa hizo siku zilizobaki hapo itakuwa uongo.
Carvajal washanipa nadhan nimebakiza Alvarez, Cole Palmer, Salaha, Kante, Baia na Serginho ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบHawakupo, utaoata hizo card za akina Carvajal ๐
Ndiyomaana mie nikiona Selection contract naifurahia maana najua account yangu haina bahati ๐Kaka tunabahati mbaya kila sehemu๐ฅบ
Mie Carvajal wamenipa wiki hii na nishamfukuza ๐Carvajal wadhanipa nadhan nimebakiza Alvarez, Cole Palmer, Salaha, Kante, Baia na Serginho ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
Tuendelee kujifukiza kaka...Ndiyomaana mie nikiona Selection contract naifurahia maana najua account yangu haina bahati ๐
Ungemwacha acheze hata spanish eventsMie Carvajal wamenipa wiki hii na nishamfukuza ๐
Acha ninyamaze ๐Tuendelee kujifukiza kaka...
Ila nasikia ijayo anakuja Rumminnegga ๐๐๐
Hizo ni hasira za kukosa epic, card yeyote tofauti na epic pale haina nafasi zaidi kula panga tu.Ungemwacha acheze hata spanish events
Tungojee siku 11 sio mbali๐๐Acha ninyamaze ๐
Sasa mzee wa watu atakula wap๐๐๐Hizo ni hasira za kukosa epic, card yeyote tofauti na epic pale haina nafasi zaidi kula panga tu.
Simu gani?Biggest Scam in the World
How comes system imekula Gb 98 peke yake๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bora ningebaki na Nokia Yangu
View attachment 3410989
Huenda wakaongeza card zingine badala ya kuondoa ๐Tungojee siku 11 sio mbali๐๐
Labda waongeze muda kidogo lakini. Baada ya siku 11 season mpya inaanza nadhani itakuwa Efootball 2026.Huenda wakaongeza card zingine badala ya kuondoa ๐
Update ya msimu mpya wamesema ni mwezi wa 8 katikati.Labda waongeze muda kidogo lakini. Baada ya siku 11 season mpya inaanza nadhani itakuwa Efootball 2026.
Infinix Smart 8๐๐nilinunua mahususi kwa hili gameSimu gani?
Wafanye hivyoHuenda wakaongeza card zingine badala ya kuondoa ๐