eFootball Special Thread

Kheeh๐Ÿคฃ๐Ÿคฃme nikikutana na mtu mbutiaji ananifunga๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Mkuu nimebadilisha individual instructions kwa muongozo wa ChartGpt ndiyomaana kiasi nimepata ushindi kwa wazee wa LB.

Halafu wanakuwa na kusudi wakiona badge ya dvn 2 ile ndiyo wanakamia halafu wengi unakuta wapo dvn 3 ๐Ÿ˜‚
 
Umewapaje saivi labda nikazitumie na mimi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Umewapaje saivi labda nikazitumie na mimi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Si unajua natumia back 3 sasahivi kwahiyo wakikutana na mimi wanatumia LB wakati mtu umeangalia team playstyle yake ni QC ๐Ÿ˜‚

Kwensa kwa ChatGpt akanipa maelekezo CB za pembeni nizipe defense halafu DMF zote mbili nizipe deep line.

Akanifumbua akili sasa kwamba kuna wakati hizi destroyer zinapanda katikati kujunga kwenye kushambulia, nilivyokuja kucheki ndo naona Tony Adams eti anaassist 3 ๐Ÿ˜‚
 
Kheeh๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Deepline wawili si uuaji huo
 
Kheeh๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Deepline wawili si uuaji huo
Halafu kule mbele wapo huru sasahivi anafunga yeyote ila kama ujuavyo Drogba mzito kumaliza dakika 90 mpaka stamina gauge inakuwa nyekundu maana inabidi nae akimbizane kukaba ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ