eFootball Special Thread

Wawekee ratiba status ili wajue kuna muda unakuwa busy na kazi(eFootball) ๐Ÿ˜‚
Mzee alafu ni jamaa yangu nikimkatia anajua kabisa nacheza gemu anamind kinomaa ila uliza kama kuna cha maana alichoongea๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃzaidi ya kuniuliza upo wap๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
nimeshinda 2 kwa 1 game ya kwanza๏ผˆnlisahau kuscreenshot๏ผ‰
game ya pili amenifunga moja ila mtandao wake umezingua gatijafika hata half time
Matokeo yapo saved kwenye match history, tuleteeni matokeo ๐Ÿ˜‚

Mkono mtupu haulambwi, Matokeo bila picha ni uzushi ๐Ÿ˜‚
 
Mzee alafu ni jamaa yangu nikimkatia anajua kabisa nacheza gemu anamind kinomaa ila uliza kama kuna cha maana alichoongea๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃzaidi ya kuniuliza upo wap๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hapo utasikia โ€œOya familiya nimekutana na pisi kali kinomaโ€ wakati huo wewe umegawa win ๐Ÿ˜‚
 
Kwa Adriano ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kule kwa Pedri yule kocha wa LB sina akili ya kumpita leo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Jana nipo nacheza event ya PvP nimekutana na mwamba ni mbele mbele yao, hataki uchafu nyuma ๐Ÿ˜‚

Nilikuwa nacheka tu maana mwenzie nilikuwa training ya LBC, ila uzuri hakukimbia nikampiga goli 3 kwa 0 ๐Ÿ˜‚
 
Jichanganye ๐Ÿ˜‚
Nataka nikusanye coin nichukue pack ya 1800 then nitachukua na itakayofata then natunza coin mpka zifike elfu 15๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃnichukue pack yote๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Jana nipo nacheza event ya PvP nimekutana na mwamba ni mbele mbele yao, hataki uchafu nyuma ๐Ÿ˜‚

Nilikuwa nacheka tu maana mwenzie nilikuwa training ya LBC, ila uzuri hakukimbia nikampiga goli 3 kwa 0 ๐Ÿ˜‚
Kheeh๐Ÿคฃ๐Ÿคฃme nikikutana na mtu mbutiaji ananifunga๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ